Kwa anayehitaji kununua almas ( diamond) kiwango kikubwa larger qty | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa anayehitaji kununua almas ( diamond) kiwango kikubwa larger qty

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Akiri, Aug 8, 2012.

 1. A

  Akiri JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Kwa mtu yoyote anayehitaji kununua almasi tuwasiliane Mzigo upo wa kutosha, kwa mnunuzi tuwasiliane 0778 918 245 kama hufahamu lolote kuhusu hii biashara pls pita kimya . tunatafuta a serious buyer tu. na mauzo yote yanafuata taratibu zote za nchi . hakuna cha black market.
   
 2. k

  kafundi Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh matapeli kweli mmechoka sasahivi mpaka mmeamua kuiga local maana wazungu wameshawashtukia .we kweli uwe na diamond halafu uangaike kuiuza wakati unafuata taratibu zote za nchi we kweli ni mwenye mawazo finyu ukidhani unaweza kuibia watu humu.lakini kila la kheri maana wanazaliwa kila siku

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 3. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Hawa ndio wapigaji wenyewe wa mjini ,siku hizi wameingia mtandaoni!!
   
 4. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Mtaji minimum niwe na shs ngapi?
   
 5. A

  Akiri JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
   
 6. A

  Akiri JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  kitu gani hapo ulichopigwa . mbona mnadakia vitu msivyo vijua .? mzigo upo mnunuzi wa kweli aje na awaalike muje naye acheni kurukia mada musizozijua
   
 7. A

  Akiri JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  unaweza anza hata na 10m but ni ndogo sana . tulitaka mnunuzi wa mzigo wote na hatutaka kupeleka nje ila tunamkaribisha mtu wa nje aje anunue.huu mzigo uko sehemu 3 kuna zimegawanywe kwenye $ 15m ndiyo maana tulipenda kushughulika na mnunuzi mkubwa , lakini jamvi limevamiwa na vitoto vilivyotoka shule kila mada vinadakia ooh! naibiwa njoo uone jiridhishe lipia
   
 8. k

  kafundi Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapigaji on the net duh njaa zitawaua nasikia wazungu wameshtuka hawapigiki ndo mnaamua kupiga walalahoi wenzenu kama mngekuwa. Mnataka soko la nje mngeandika tangazo lenu kiingereza mate audience kubwa zaidi lakini kwakuwa mnalenga wanaoongea kiswahili ndomana mmeandika kiswahili huku itakuwa ngumu kupata mtu labda sijui atokee mkulima gani halafu mmenitumia rivate msg kunifunga mdomo lakini haisaidii nyie ni wapigaji tu mmefulia mnapiga local sasa
   
 9. k

  kafundi Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari ,
  nimeshindwa kukuelewa jinsi ulivyochangia mada hapa jamvini na unaniita tapeli. unaweza nieleza ni wapi nilikutapeli? au kosa langu ni nini hasa? mbona wenzako wamepita kimya ? naomba tuheshimiane tumia vizuri hiyo akiri yako.
  mimi ni nina leseni 2 za madini moja ya kujimba nyingine ya kuuza . sasa kwenye kuuza naruhusiwa kuuza mzigo wowote hata wewe unaweza niletea nikakuuzia . huu mzigo upo una dhamani ya $ 45m .ni mzigo unaouzwa kwa pamoja dealers 10 wameunganisha nguvu anatafutwa mnunuzi wa pamoja .
  mwazo tulikuwa tunapeleka dubai, israel na india sikuhizi ukienda na huo mzigo wengi hawarudi inasemekana wanauwawa. nimechukia na nitajitoa jamii forums kwa sababu yako.
  Asante nabaki na utapeli wangu je nimewahi kumtapeli baba yako au mama yako?
  **************
  We uwe na mzigo wa $45m halafu utangaze JF kwa kiswahili unaona humu watu wapumbavu kwanza hata kiswahili kuandika huwezi. Jitoe tu usitutishe hatuhitaji watu kama wewe
   
Loading...