Kwa anayehitaji apartment ya kununua au sehemu ya kuweka atm tuwasiliane | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa anayehitaji apartment ya kununua au sehemu ya kuweka atm tuwasiliane

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Akiri, Oct 9, 2012.

 1. A

  Akiri JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Tunazo apartment za kuuza zilizopo kariakoo mtaa wa Mafia na sukuma zinauzwa kwa $ 120,000 kwa maelezo zaidi tuwasiliane 0657 145555 na 0755 099 291 . maeneo ya kuweka ATM tunayo kariakoo mtaa wa amani na sikuu pamoja na mengine mengi hapa Dsm na mikoani.
   
 2. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  weka details na kama ikiwezekana weka na picha alawaaaaa, unataka uza mbuzi kwenye gunia?
   
 3. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  120,000 * 1580=189,600,000
   
 4. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  tunasubiri picha mkuu
   
 5. v

  valid statement JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  ghali au rahisi?
   
 6. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hadi nitakapoona picha.
   
 7. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  189,600,000 hivi ni macho yangu au nimekuwa kengezaaaaaaaaaaa
   
 8. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Mkuu ndio bei zake hizo

  Ila ngoja tusubiri picha zaidi
   
Loading...