Kwa anayefahamu App ya Photo Editor kali naomba anijuze

dah nmepitia comment za "MTUMISHI WA UMMA" Nlichogundua jamaa ni mshamba kwa sababu hashauriki. Ok tukiachana na ishu ya kupost picha kawaida, baada ya ku-edit itakuwa na manufaa gani kwako? Je itabadilisha uhalisia wako??

Bwana "MTUMISHI WA UMMA" em tumikia wananchi kokote uliko edit kwa ajili ya "efubiiiii" haitakusaidia
Ni swala la uelewa Tu..alinikoromea kwamba hana muda wa kwenda kujifunza Photoshop miezi mitatu wakati yeye ni mtumishi,hiyo comment ndy ilinifanya nikaacha majadiliano naye maana niligundua ingawa alni mtumishi lkn Yuko outdated na dunia inavyokwenda.Km anamiliki smartphone hakuwa na sababu ya kwenda popote anapojinasibu kwamba Hana muda,badala yake anaweka bando Tu anaingia YouTube Kula tutorials kisha maisha yanaendelea

Dunia ya sasa huitaji kwenda mahali physically kutafuta maarifa wakati tuna ulimwengu viganjani mwetu.Mtumishi aliniangusha sn Kwa Ile comment
 
haha kakaa wachache wenye akili ya kufikiri haraka usikute "mtumishi wa umma" hajui kama kuna watu wanasoma na kupata degree online
 
Back
Top Bottom