Kwa anayefahamu App ya Photo Editor kali naomba anijuze

Sijui Nani kamwambia huko FB wanataka wapostiwe picha mbovu!! Maana anasisitiza kwamba haedit Kwa ajili ya biashara.Anafanana na mtu anayepika chakula kibovu ukimwambia chakula chako siyo kizuri jaribu kuimprove anakujibu Hiki nakula mwenyewe siwauzii watu(siyo cha biashara)

Ana utoto mwingi
We ndio mtoto halafu nimegundua una mapungufu ww.....mimi ni mtumishi wa umma eti niache kwenda kazin unataka niende nikasomee photoshop eti ili nije kupost picha fb nk....tena nilipokuona we ni chiz unasisitiza kabisa et course ni miezi mitatu tu...kifupi mm sio photoshoper mwezio mm ni mtumishi wa serikali swala la kuedit picha halihusian kbs na unavyotaka ww kwamba niache kazi niende course! Hlf nimekwambia natumia cm lakin bado ukawa unanilazimisha kuhusu pc sasa ikabid nikushangae hv ninunue pc kwa ajili ya ku edit pics tu na kupost mtandaon? Pale ndio nikangundua ushaur wako unafanana na ubongo wako ...coz brain yako ni zero
 
Acha kumuongopea mwenzio, sikuiz kuna apps kali tuu za simu na zinafanya kazi almost the same kama zile za pc.. hata hyo Photoshop ina version ya simu na iPad. It works just perfect.. sikuiz hatushindanii nan ana vifaa gan bali nan ana ujuzi na ubunifu zaid katika utendaji.. over

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Nakubali kiongoz
 
na mimi nizungumze kidogo, kwa mfano, mi sina camera ila nina hobby ya kupiga picha so hua natumia sim kupiga picha then kama niko serious na editing mi hutumia photoshop ya PC, ila kwa hizi kazi simple sijui kuongeza contrast ku adjast temperature natumia Lightroom ya simu.
kitu ambacho huwezi fanya kwenye simu ni selective adjustment.
ushauri wangu, app bora ya android ambayo mi pia hutumia na adobe lightroom na ni best kwa upande wa simu.
Pia huwezi nunua PC kwa ajili ya kueditia picha za FB😆😆😆.
Kama unapenda na tuvidio twa hapa na pale kwa ajili ya status tumia KINEMASTER.
OVA.
 
Mkuu unaweza kupost hapa baadhi ya kazi zako ulizoedit Kwa apps za simu?

Tuma hata picha kadhaa pamoja na software uliyotumia kuedit nami nijifunze,pengine huku kutembea na PC kunatupotezea muda wakati naweza kupiga picha na kutumia simu yangu kumaliza kila kitu

Tuma picha km hizi ambazo simu ndy imehusika mwanzo mwisho km hivi

View attachment 1991919View attachment 1991920View attachment 1991921

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ipo makini

Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
 
We ndio mtoto halafu nimegundua una mapungufu ww.....mimi ni mtumishi wa umma eti niache kwenda kazin unataka niende nikasomee photoshop eti ili nije kupost picha fb nk....tena nilipokuona we ni chiz unasisitiza kabisa et course ni miezi mitatu tu...kifupi mm sio photoshoper mwezio mm ni mtumishi wa serikali swala la kuedit picha halihusian kbs na unavyotaka ww kwamba niache kazi niende course! Hlf nimekwambia natumia cm lakin bado ukawa unanilazimisha kuhusu pc sasa ikabid nikushangae hv ninunue pc kwa ajili ya ku edit pics tu na kupost mtandaon? Pale ndio nikangundua ushaur wako unafanana na ubongo wako ...coz brain yako ni zero
Mtumishi wa uma unakosa pc.

Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
 
Una miaka mingapi ndugu ?

Kazi ya kuedit picha ni professional ya watu na wanaishi Kwa kupitia hiyo..Mimi ni mtaalamu wa Photoshop na ninachokushauri Nina ujuzi nacho

Km unapenda kuedit picha unapaswa ujifunze Tu hakuna shortcut na PS au LR haikwepeki..hizo za simu hazina ubora wowote..labda ulete utoto ndy maana nimekuuliza Una miaka mingapi

Angalia mfano wa picha iliyoeditiwa kwenye PS

View attachment 1991385
Hii picha ulipiga wewe mkuu, naona ina brand ya silver Inc .ni jamaa zangu sana wale na ninafanya nao kazi kibao za picha na video pia
 
Mawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano ya Tanzania ni matumain yangu wote mpo salama kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu.

Kwa yeyote anayefaham Apps kali ya ku edit picha naomba anijuze jaman ili na mm ni down load niweke kwenye tambo langu, napenda apps ambayo itakuwa na back ground nzur, location, ikiwa na ka option japo ka kuweka na musikitakuwa nzur zaid.

Nawasilisha
Picsart
 
Aisee miezi mitatu unasoma photoshop ambayo wenzio week moja2 anashusha course udemy anaanza kuedit picha
 
We ndio mtoto halafu nimegundua una mapungufu ww.....mimi ni mtumishi wa umma eti niache kwenda kazin unataka niende nikasomee photoshop eti ili nije kupost picha fb nk....tena nilipokuona we ni chiz unasisitiza kabisa et course ni miezi mitatu tu...kifupi mm sio photoshoper mwezio mm ni mtumishi wa serikali swala la kuedit picha halihusian kbs na unavyotaka ww kwamba niache kazi niende course! Hlf nimekwambia natumia cm lakin bado ukawa unanilazimisha kuhusu pc sasa ikabid nikushangae hv ninunue pc kwa ajili ya ku edit pics tu na kupost mtandaon? Pale ndio nikangundua ushaur wako unafanana na ubongo wako ...coz brain yako ni zero
Serikali siku hizi ina watumishi wa sampuli hii?,kazi tunayo
 
Kaka usiku mwema maana izo unazoleta ni dharau sasa tusije tukachafua hali ya hewa umu bule....sasa naleta utoto maana yake nn? Mm na ww nan analeta utoto?

Nimezungumzia apps ya ku edit pic kwenye cm na sio pic nikakwambia mm sio mfanya biashara bado unanambia habar ya quality wakati mm sijazungumzia quality hapa...nikakwambia nahitaji apps za kwenye simu na sio pc lakin bado tu unanilazimisha pc hv kwel we una akili timamu?

Kwaiyo ninunue pc kwa ajili tu ya ku edit picture nitume fb? Mbona kuna watu wanatumia photo collage nk nao ni wataalam wa photo shop?

Wengine wanatumia snapseed nao wanatumia pc shame on you...unatakiwa uelewe mtu anataka kwa matumiz gani! Nakwambia natumia cm bado tu unaniletea habar za pc sasa nan mtoto hapo! We iyo pc ulinunua kwa ajil ya ku edit picture utume fb?
Pumba..acha ulofa unatokaje povu namna hii kwa case ndogo kama hizi...unaelekezwa huelewi bogus kabisa
 
Kufanya rangi za kawaida unaweza tumia adobe light room na nafanya mara nyingi,na ukitaka ona kazi zangu njoo PM.

Ila fine retouching haina namna lazima uwe na pc
Adobe photoshop
Light room
Capture one
 
Aisee miezi mitatu unasoma photoshop ambayo wenzio week moja2 anashusha course udemy anaanza kuedit picha
Kama huyo mtu anafundishwa ni sawa,ila kama anajifunza youtube na huu uchoyo wa wabongo inachukua hata miaka
 
Pumba..acha ulofa unatokaje povu namna hii kwa case ndogo kama hizi...unaelekezwa huelewi bogus kabisa
Bogus ww hapo unanielekeza usengelema.... nimeshakwambia mm sio mfanya biashara bado una ngangania yaan nikasome et kwa sababu ya kurusha picha fb sasa we si ndio msengerema hv mwenye akili anaweza akamuelekeza mtu aache kazi akapige course kisha anunue pc a post pics fb sasa ww una akili kwel?
 
Hv kwa mfano ndio ww sasa...ni mtumishi wa umma umepost iyo kitu lengo ni kupost tu kwenye social network na umeniambia kabisa unatumia cm na sio kwa ajili ya biashara halafu mm nianze kukupa ushaur nenda kasome miezi mitatu photoshop ukimaliza nunua pc ndio u edit uweze kutuma picha fb ....hv utanielewa ww? Si utaniona mm kichaa?au wewe iyo isingekuwa ndio kazi yako ungeacha kufanya majukumu yako mengine ungeenda kusomea shotoshop kicha ununue pc ili upost pics fb?
 
UZI MZURI ILA MSIGOMBANE WADOGO ZANGU. MUELEKEZANE KWA UPOLE.

MWANZO 37, YUSUFU ALIWAAMBIA NDUGU ZAKE MSIGOMBANE NJIANI.
 
Dah..mbn unamkoromea mkuu?

Haufai kuwa mwalimu asee

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
dah nmepitia comment za "MTUMISHI WA UMMA" Nlichogundua jamaa ni mshamba kwa sababu hashauriki. Ok tukiachana na ishu ya kupost picha kawaida, baada ya ku-edit itakuwa na manufaa gani kwako? Je itabadilisha uhalisia wako??

Bwana "MTUMISHI WA UMMA" em tumikia wananchi kokote uliko edit kwa ajili ya "efubiiiii" haitakusaidia
 
Back
Top Bottom