Wana jf kwanza nawapeni salamu.
Jamani naomba kwa mtu anaye mhua huyu dada ( alicious) pls naomba anielezee historia yake kwa ufupi na jinsi ya kumpata maana namzimia sana. Natanguliza shukrani
Wana jf kwanza nawapeni salamu.
Jamani naomba kwa mtu anaye mhua huyu dada ( alicious) pls naomba anielezee historia yake kwa ufupi na jinsi ya kumpata maana namzimia sana. Natanguliza shukrani
Kwa kuanza alianza na single ambayo
alimshirikishwa Juliana wa Uganda inaitwa mpita
njia ambayo iliwekwa Youtube January 2012.
Wanasema watu kutoka Congo wanaimba sana
ni kweli wanaimba na huyu pia anatokea
hukohuko Congo.
Alicious Theluji ni mzaliwa wa Kivu huko Congo
DRC lakini amekulia Nairobi Kenya na sasa ni
mwimbaji mkali ambae ana uwezo wa kuimba
kwa lugha nne ambazo ni Kiswahili, Kiingereza,
Kifaransa na Lingala..Mtafute Juliana akupe Contacts Zake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.