Kwa anaejua steering power vizuri

Baraka sheni

JF-Expert Member
Jan 5, 2015
470
193
habari wana jf kuna mercedez banz hapa ni 221 gari ikiwa inatembea ina toa kamlio na ukivuta mafuta ndio kinazidi kutoa sauti kwenye steering power je tatizo nini naombeni msaada.
 
Inatoa mlio kwenye steering power? Hapana angalia belt zako zinaweza kuwa zimekauka. Ukitaka anza na belt ya kwenye pulling au ya condenser ya ac
 
asante mkuu nitakuletea majibu ngoja nikafanye hivyo.
 
Back
Top Bottom