kwa anaejua kutoweka kwa ITV na EATV

Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,557
2,692
jamani katika king'amuzi cha easyTv nimegundua leo toka asbh EATV haipo na ITV toka asbh inaonesha vitu vingine kabsaaaaaaa wala sio vya tz,naomba kujua jamani ni nini au ndo wamejitoa easytv?
 
Star times inaonekana crystal clear.kwakua ni easy tv..just take it easy!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom