KWA ANAEJUA KUHUSU LINUX

i 37

Senior Member
Dec 6, 2018
155
55
natumia linux elimentary ila tatizo linakuja pale napotaka play game inashindikana na nimesha danload apps zote zinazo husika na kurun game
ila napo fungua option ya ku add non listed programe haitokei ( both playonlinux and steam os)
 
Hilo ni gemu ni la windows OS?
 
Back
Top Bottom