Kwa anaejua awasaidie hatua za kufuata.


Perry

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Messages
10,033
Likes
914
Points
280
Perry

Perry

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2011
10,033 914 280
Nijuavyo wizara ya fedha hugharamikia masomo ya wanafunz ktk vyuo vya TIA,IFM na IAA,kwa anaejua jnsi ya kuupata huo ufadhili awasaidie vijana,me cjui process za kufuata ila 2 kuna rafik yangu mmoja alibahatkaga kupata hlo zali mwaka flan hivi.
 

Forum statistics

Threads 1,236,811
Members 475,293
Posts 29,268,763