Kwa anaeenda mikoa ya kaskazini naomba lift

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,470
45,614
Kama kuna mtu anaenda Moshi kesho naomba lift nitalipa akitaka, nimekosa gari na kupanda daladala siwezi.

Asanteni.
 
kama kuna mtu anaenda moshi kesho naomba lift nitalipa akitaka. nimekosa gari na kupanda daladala siwezi asanteni
Hii nimeipenda maana imenikumbusha zamani huko nchi za wenzetu "mitfahrzentrale'. Sijui kama bado kuna vitu kama hivyo siku hizi. Kwako mtoa mada kwa bahati mbaya sina usafiri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom