Kwa anae hitaji kuchange chuo/coz alyopangiwa na TCU ani PM

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Yeyote mwenye kuhtaji hyo huduma anijulishe,nimpe maujanja.

Nenda chuo husika unachotaka kuhamia,uliza ka bado kuna chance kwenye hyo course unayoitaka then ukikubaliwa utaenda tcu utapewa barua ya uhamisho..ila kama unataka kuhama courz bt ktk the same chuo,ni uongozi wa chuo chako husika ndo una jukumu hlo.me ndo namalizia mchakato huku wa kumtoa dogo mzumbe na kumpeleka sua so atakae weza pga hzo mishe apge faster kabla vyuo havijafunguliwa.over

hayo ndio maujanja?

Are you serious?kwa jinsi elimu ya sasa ilivyo ya kisenge unaweza ukafeli hata kama ulifika chuo na ukagonga GPA ya 3.something,honestly

matusi ya nini?. Huku ni kwa Great Thinker, huwa hawatukani. Wanajibu hoja kwa hoja si kwa matusi.

haya kaka ahsante sana ila angalia usije mpoteza m2 utapata laana maana utakuwa umempotezea m2 muda wake

Back
Top Bottom