Kwa anae hitaji kuchange chuo/coz alyopangiwa na TCU ani PM

emoshi

Member
Apr 2, 2011
28
20
Nenda chuo husika unachotaka kuhamia,uliza ka bado kuna chance kwenye hyo course unayoitaka then ukikubaliwa utaenda tcu utapewa barua ya uhamisho..ila kama unataka kuhama courz bt ktk the same chuo,ni uongozi wa chuo chako husika ndo una jukumu hlo.me ndo namalizia mchakato huku wa kumtoa dogo mzumbe na kumpeleka sua so atakae weza pga hzo mishe apge faster kabla vyuo havijafunguliwa.over

Aisee mimi nataka kuhamia UDOM sasa hivi je itawezekana?
 

Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,497
2,000
kweli hii nchi imeshakuwa fake! Mpaka chuo unahama? Dah! Ndo maana walianzisha utaratb wa tcu ili kurahisisha huu uharamia kama wa sekondary
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom