kwa anae elewa naomba anisaidie

solja njeree

Senior Member
Aug 27, 2013
175
94
Nimekua nikitatua mambo mengi yalionitatiza kupitia hapa nikapata ufumbuzi sahihi, leo pia nina hili,,,, WAKUU laptop yangu kila nikichat kuna batan hazitoi herufi zinatoa namba nashindwa kuchat kwamfano kwa juu kuna no moja hadi9, halafu huku chini kwenye herufi M, j, L pia kuna namba nataka kuzi lock nitumie za juu kama ilivyo kua mwanzo sas nashindwa, nikibinya m inatokea namba badala ya herufi m, nihilo tu kwa anae elewa naomba anisaidie
 
Mimi nimemuelewa kwakuwa nilishawahi kukutana na mini laptop ya Acer yenye shida hiyo,sikuweza kutatua hilo tatizo.
 
Back
Top Bottom