Kwa ambao walishawahi kununua adapter{charger}za laptop au wenye utaalam na hili..

July Fourth

JF-Expert Member
May 2, 2012
2,240
794
Wakuu eti charger original za laptop zinarenji kwenye sh. Ngapi?
Tatizo nililo nalo ni kwamba all of a sudden iyo charger iliacha kuchaji pindi naitmia. Then machine ikazima.. Nikaamua kuiwasha upya na ikaendelea{ikaresume} kupiga mzigo kama kawaida <nilikuwa nahamishia mafaili kwenye flash> na charge ilikuwa 0%.
So nikashut down na kuamua kudeal na charger. Nikaipiga kibao ikashtka na kuwaka kale kataa ka kijani, pale kwenye volts..
Lakini hapa kwenye laptop {iko off} ule mwanga unaonesha kwamba umekonekti charger unakonyeza konyeza. Yaani unawaka, unazima, unawaka, unazima. Nikiboot pc inataka kuwaka then inazima.. What could be the prob?
Nb:charger ni aina ya Zippys..nimeitumia jana usiku kucha kudownload season 1 ya nikita..
2. Alafu inasizi mpaka niipige pige..
Naombeni msaada wataalamu, na kwa wale waliowah kuexperience ili..
Nawasilisha
 
Huu utalam umeupata wap. Au umesomea veta.

Kama charger inafanya kazi lakini kwa kukatakata possibly kuna lose connection ndani. Kuendelea kuipigapiga ni kuongeza tatizo, peleka kwa fundi wa electronics anaweza rekebisha hiyo hiyo ikafanya kazi. Otherwise nunua original charger kwenye maduka wanayouza used computers, new one ni mara chache kupata original
 
Huko wapi mkuu ? Mara nyingi hilo tatizo lipo kwenye output ya chaja yaani pale unapoanzia ule waya kwenye adapta hadi kwenye kichwa. Tatizo hapo ni huo waya kuna sehemu zinagusana inatakiwa ukatwe na kuhungwa. Chaja orijino ni bora kuliko za dukani .dukani zinauzwa kati ya elfu 60 adi 90. Inategemea na aina na volt
 
niko Mwanza mkuu..{SAUT}..iyo kitu ndo inaitwa cord? Inayoitaji uwe na plierz pamoja na electrical meter kurekebisha?"
 
dogo, achana na hiyo chaja tafuta nyingine orijino. ukiendelea kuitumia itakuharibia laptop au battery. ni pm ntakuelekeza wapi utapata chaja
 
simply test chaja yako kwa computer zingine au test computer yako kwa adapter zingine, utajua either tatizo ni laptop au adapter,, otherwise utajikuta mgonjwa wa mguu umempasua kichwa.. gym
 
nimefanya hivyo tayari. Tatizo ni charger mkuu. Chaja yangu ni ile inayoonesha mwanga mdogo wa kijani ukiikonect kwenye socket, na kuna sehemu ya kuadjust volts.. Nadhani unazipata. Sasa ile taa hata haiwaki pale kwenye chaja.. Kwasasa ukiiweka karibu na sikio u here sm noise inside as if smthn is burning..
 
kama upo dar es salaam nenda kariakoo karibu na ile round about ya kueleka mbagala, ilala na msimbaz kuna washkaji wanauza used and original charger za mashine za karibu aina zote....price range yao ni kwanzia 30000 -45000
 
thanks kaka, niko mwanza.. Hope na hku nitapata kwa bei hiyo hiyo
 
nimefanya hivyo tayari. Tatizo ni charger mkuu. Chaja yangu ni ile inayoonesha mwanga mdogo wa kijani ukiikonect kwenye socket, na kuna sehemu ya kuadjust volts.. Nadhani unazipata. Sasa ile taa hata haiwaki pale kwenye chaja.. Kwasasa ukiiweka karibu na sikio u here sm noise inside as if smthn is burning..

nahisi hiyo adopter siyo specific ya laptop , ni zile universal hata redio unaweza kuweka(kama una adjust volts), tembelea website ya computer yako angalia adopter gani inakufaa,,, hihzo za ku adjust voltage huwa zina tabia ya kupitisha voltage kubwa kuliko current (voltage na currnt haviko propotional).. abandon it imidietilee....
 
Back
Top Bottom