Kwa ambao hawajaoa na kwa bahati wanajua kusoma kiingereza waraka wenu huu

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,210
5,935
Marry now with the little you have. Don't wait to be a millionaire, Have kids early so you can grow with them. Grow with your kids and succeed with your wife.

You will never finish making money or achieving your plans. You might still not succeed at your target year. So start your life early, with consistency you will grow.

My father said this to me: When I was 25, I was talking about making billions before I marry.
Many years later, billions didn't come, yet no kid no wife... I had an opportunity to marry the most beautiful love of my life very early, But my fear was, can I really take care of her?

But right now She's married with Four grown up children. The guy that married her was still schooling then, but had the courage. They worked hard and succeeded together.

So please if you can feed yourself, you can feed your wife. You have to believe it, marry early, don't wait.

Stay away from abortion.
Don't make our mistakes, I see
my childhood friends play with their kids..

Most of them are not doing as well as me.. But they are happier with their families..
Trust me it isn't money only, but Rather your Maturity, your happiness depends entirely on your wisdom and the way you Handle Life, with a well planned life they are happier.

Trust me it isn't money, What is our problem? Build mansion? buy the latest Car in Town? marry Sharon stone type? but still we don't have those things we dreamt of, and of course the years we wasted, we can never have them neverrrr!!!_

Please don't be 60yrs old and your kids will still be in their 20's..What are you supposed to be at that age? Their grand father.

Please young men, take my advice seriously.
Marry, don't be afraid, that girl you are finding too many fault in has many good qualities if you look well.

Don't think you will get every thing before you settle down.
With a good determination and focus with your wife by your side, we will succeed by God grace....Amen!

DEDICATED TO ALL SINGLE PEOPLE TNX AND GOD BLESS YOU ALL
May be a cartoon of one or more people
 
Ukichelewa sana kwa kijana wa kiume, 30yrs old uwe na mtoto wa 3yrs. Mama wa mtoto, anaruhusiwa kuwa umri wowote kuanzia 19 - 27.

Ukivuka 30 hakuna ndoa, hakuna mtoto, pambania miaka 10 inayofuata kukita mizizi ardhini, chini zaidi kama unakuwa bado. Katika harakati hizo, basi lolote linaweza kutokea pia(ndoa au watoto)

40 na kuendelea, wasaidie tu waliopo aisee na hasa kama maisha yako nia yale halisi ya kitanzania, ila kama ni ya kina Ridhione, we oa au zalisha tu.

Kwa wakike, ikigonga 30 bila bila, ama uwe single mama, au uoe(Marioo) hasa kama unatokea haya maisha halisi ya kitanzania, ndoa fresh zinakuwa zikikukwepa haswa jamaa wakifikiria imekuaje? La, uwe bikra katika umri huo, bahati zipo pia.
 
Tulioishia la pili A

Omba sasa na kidogo ulichonacho. Usingoje kuwa milionea, Kuwa na watoto mapema ili uweze kukua nao. Kukua na watoto wako na kufaulu na mke wako. Hautawahi kumaliza kupata pesa au kufanikisha mipango yako. Labda bado haufanikiwa katika mwaka wako uliolengwa.

Kwa hivyo anza maisha yako mapema, na uthabiti utakua. Baba yangu aliniambia hivi: Wakati nilikuwa na miaka 25, nilikuwa nikiongea juu ya kutengeneza mabilioni kabla ya kuoa. Miaka mingi baadaye, mabilioni hayakuja, lakini hakuna mtoto hana mke ... Nilipata nafasi ya kuoa upendo mzuri sana wa maisha yangu mapema sana, Lakini hofu yangu ilikuwa, je! Ninaweza kumtunza? Lakini sasa hivi ameolewa na watoto wanne wazima. Mvulana aliyemuoa alikuwa bado anasoma wakati huo, lakini alikuwa na ujasiri.

Walifanya kazi kwa bidii na kufanikiwa pamoja. Kwa hivyo tafadhali ikiwa unaweza kujilisha mwenyewe, unaweza kumlisha mke wako. Lazima uiamini, uoe mapema, usingoje. Kaa mbali na utoaji mimba. Usifanye makosa yetu, naona marafiki wangu wa utotoni hucheza na watoto wao .. Wengi wao hawafanyi vizuri kama mimi .. Lakini wanafurahi na familia zao .. Niniamini sio pesa tu, lakini Badala ya Ukomavu wako, furaha yako inategemea kabisa hekima yako na njia unayoshughulikia Maisha, na maisha yaliyopangwa vizuri wanafurahi zaidi.

Niniamini sio pesa, Tatizo letu ni nini? Jenga nyumba ya kifahari? kununua Gari ya hivi karibuni katika mji? kuoa aina ya jiwe la Sharon? lakini bado hatuna vitu vile ambavyo tuliota, na kwa kweli miaka tuliyoipoteza, hatuwezi kuwa nayo kamwe neverrrr !!! _ Tafadhali usiwe na miaka 60 na watoto wako bado watakuwa katika miaka ya 20.. Je! Unatakiwa kuwa katika umri gani? Baba yao mkubwa.

Tafadhali vijana, chukua ushauri wangu kwa umakini. Kuoa, usiogope, msichana huyo unayepata makosa mengi ndani ana sifa nyingi nzuri ikiwa unaonekana vizuri. Usifikiri utapata kila kitu kabla ya kutulia. Kwa dhamira nzuri na umakini na mke wako kando yako, tutafanikiwa kwa neema ya Mungu .... Amina!

WALIOJITOLEA KWA WATU WOTE WENYE MOJA TNX NA MUNGU AWABARIKI WOTE
 
Ukichelewa sana kwa kijana wa kiume, 30yrs old uwe na mtoto wa 3yrs. Mama wa mtoto, anaruhusiwa kuwa umri wowote kuanzia 19 - 27.

Ukivuka 30 hakuna ndoa, hakuna mtoto, pambania miaka 10 inayofuata kukita mizizi ardhini, chini zaidi kama unakuwa bado. Katika harakati hizo, basi lolote linaweza kutokea pia(ndoa au watoto)

40 na kuendelea, wasaidie tu waliopo aisee na hasa kama maisha yako nia yale halisi ya kitanzania, ila kama ni ya kina Ridhione, we oa au zalisha tu.

Kwa wakike, ikigonga 30 bila bila, ama uwe single mama, au uoe(Marioo) hasa kama unatokea haya maisha halisi ya kitanzania, ndoa fresh zinakuwa zikikukwepa haswa jamaa wakifikiria imekuaje? La, uwe bikra katika umri huo, bahati zipo pia.
Marry now with the little you have. Don't wait to be a millionaire, Have kids early so you can grow with them. Grow with your kids and succeed with your wife.
You will never finish making money or achieving your plans. You might still not succeed at your target year. So start your life early, with consistency you will grow.
My father said this to me: When I was 25, I was talking about making billions before I marry.
Many years later, billions didn't come, yet no kid no wife... I had an opportunity to marry the most beautiful love of my life very early, But my fear was, can I really take care of her?
But right now She's married with Four grown up children. The guy that married her was still schooling then, but had the courage. They worked hard and succeeded together.
So please if you can feed yourself, you can feed your wife. You have to believe it, marry early, don't wait.
Stay away from abortion.
Don't make our mistakes, I see
my childhood friends play with their kids..
Most of them are not doing as well as me.. But they are happier with their families..
Trust me it isn't money only, but Rather your Maturity, your happiness depends entirely on your wisdom and the way you Handle Life, with a well planned life they are happier.
Trust me it isn't money, What is our problem? Build mansion? buy the latest Car in Town? marry Sharon stone type? but still we don't have those things we dreamt of, and of course the years we wasted, we can never have them neverrrr!!!_
Please don't be 60yrs old and your kids will still be in their 20's..What are you supposed to be at that age? Their grand father.
Please young men, take my advice seriously.
Marry, don't be afraid, that girl you are finding too many fault in has many good qualities if you look well.
Don't think you will get every thing before you settle down.
With a good determination and focus with your wife by your side, we will succeed by God grace....Amen!
DEDICATED TO ALL SINGLE PEOPLE TNX AND GOD BLESS YOU ALL
May be a cartoon of one or more people

Bahati mbaya maisha hayana formula na ridhiki ya binadamu haipangwi kama ratiba ya vikao vya harusi.
From my experience,baba yangu alinizaa akiwa na miaka 41,amenisomesha kuanzia chekechea,hadi university,tena zile degree ada ya mwaka unanunua gari fresh tu...na sikuona shida yeyote ile,mdogo wangu yupo chuo mwaka wa pili,alisoma sekondari private miaka 8,sababu ya kurudia shule sekondari mara 02,fresh tu maisha yanasonga tena amepewa mimba,ameolewa na analipiwa kila kitu huko chuo.
Ukiwa duniani muombe sana mungu akupe.
1.Afya njema
2.Riziki/kipato
3.Akili/Busara
Duniani hakuna kuwahi wala kuchelewa,unaweza zaa/kuoa na miaka 20,ukala msoto na watoto wako wote wanne hadi unakufa uliozaaa kabla ya kufika miaka 30,na watoto waliozaliwa na baba mwenye miaka 50,wakaja kula bata vizuri tu ukawa unawashonea na kuwapigia brush viatu vyao
 
Inawezekana hata yeye alizaliwa kwenye umri huo wa mzee wake, na hiyo ndo tafsiri halisi ya maisha yasiyo halisi ya kitanzania.

Wewe ni mtoto wa ngapi? Kuna ndoa rasmi? Umepishana nayo muda gani? Kuna sababu ya hali hiyo? Uwezo wa kwenu(baba na baba'ake n.k?)

Hakuna formula ni maneno ya faraja tu
 
Maisha mpaji ni Mungu. Unaweza oa mapema mke akawa hazai. Au unaweza kuzaa watoto mapema baada ya miaka 10 ukapoteza mke na watoto wote kwa vifo.

Usizipangie ratiba kudra za Mungu. Atakupiga kofi hutaamini. Tema mate chini.
 
Bahati mbaya maisha hayana formula na ridhiki ya binadamu haipangwi kama ratiba ya vikao vya harusi.
From my experience,baba yangu alinizaa akiwa na miaka 41,amenisomesha kuanzia chekechea,hadi university,tena zile degree ada ya mwaka unanunua gari fresh tu...na sikuona shida yeyote ile,mdogo wangu yupo chuo mwaka wa pili,alisoma sekondari private miaka 8,sababu ya kurudia shule sekondari mara 02,fresh tu maisha yanasonga tena amepewa mimba,ameolewa na analipiwa kila kitu huko chuo.
Ukiwa duniani muombe sana mungu akupe.
1.Afya njema
2.Riziki/kipato
3.Akili/Busara
Duniani hakuna kuwahi wala kuchelewa,unaweza zaa/kuoa na miaka 20,ukala msoto na watoto wako wote wanne hadi unakufa uliozaaa kabla ya kufika miaka 30,na watoto waliozaliwa na baba mwenye miaka 50,wakaja kula bata vizuri tu ukawa unawashonea na kuwapigia brush viatu vyao
Mkuu asante kwa mchango wako
 
Safi...maisha hayana kanuni fixed
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom