Kwa aliyepta daraja la tatu kwa alama ya 13 hstry E, geo E na kiswhil C vip anawez kupta chuo kikuu

Mkuu hapo chuo upati kwa vigezo vya sasa unatakiwa uwe na cut-0ff point ya 4 yenye principal atleast 2 mfano huwe na D mbili ktk masomo yako yaani licha kuwa na hiyo cut-off point 4 kwa kufauru somo moja vizuri km unaprincipal mbili hupati hata km ingekuwa AEE.
Serious hata bila mkopo!
 
Two or more principal passes needed!!!
Screenshot_2019-06-21-18-45-17-1.jpeg
 
Hivi hakuna mwenye ile guide book atusaidie tuchek...

Alafu watu wamechana saana vyuo vinaweza visitoshe hawawez kuongeza vigezo kweli wakuu vya kuendelea na degree?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom