Kwa aliyedondosha pochi na vitmbulisho atavikuta Kituo cha Polisi Kawe

JUAN MANUEL, Dah hivi huwa mna maana gani kutenda uungwana nusu nusu?

Kuna wakati nami nilidondosha pochi ikiwa na vitambulisho kama vyote pamoja na noti 4 za elfu tano tano.

Jamaa alinitafuta na kunipatia hizo nyaraka, lakini pesa zimetolewa.

Sasa najiuliza huu utamaduni wa kunyofoa pesa na kumwachia vitambulisho una maana gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah hivi huwa mna maana gani kutenda uungwana nusu nusu?

Shukuru kwa kuzipata hizo nyaraka zako ndg knuka wengine huzitupa kabisa au kwenda kuzi misuse, ni kheri aliefanya uungwana nusu anaelekea kuwa muungwana kamili kuliko hao ambao huchukua kila kitu na kuvitupa mtoni au dampo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah hivi huwa mna maana gani kutenda uungwana nusu nusu?

Kuna wakati nami nilidondosha pochi ikiwa na vitambulisho kama vyote pamoja na noti 4 za elfu tano tano.

Jamaa alinitafuta na kunipatia hizo nyaraka, lakini pesa zimetolewa.

Sasa najiuliza huu utamaduni wa kunyofoa pesa na kumwachia vitambulisho una maana gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushukuru kwa huo uungwana nusu basi.
 
JUAN MANUEL,

Kwanin usingetaja hata majina ya aliyepotelewa kama lengo lako ni jema, hayo maneno mengine daladala, Kawe, pesa nk yameondoa dhana yako njema na bandiko lako limekuwa la kihuni zaidi.
Umeshinda kuandika. "Ally Rweyongoza wallet yako iliyopoatea ipo Kawe Polis Post"

Anyway no thanks
 
Dah hivi huwa mna maana gani kutenda uungwana nusu nusu?

Kuna wakati nami nilidondosha pochi ikiwa na vitambulisho kama vyote pamoja na noti 4 za elfu tano tano.

Jamaa alinitafuta na kunipatia hizo nyaraka, lakini pesa zimetolewa.

Sasa najiuliza huu utamaduni wa kunyofoa pesa na kumwachia vitambulisho una maana gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee hio ndo gharama ya uzembe. Unaona shida kusaidiwa?
 
Dah hivi huwa mna maana gani kutenda uungwana nusu nusu?

Kuna wakati nami nilidondosha pochi ikiwa na vitambulisho kama vyote pamoja na noti 4 za elfu tano tano.

Jamaa alinitafuta na kunipatia hizo nyaraka, lakini pesa zimetolewa.

Sasa najiuliza huu utamaduni wa kunyofoa pesa na kumwachia vitambulisho una maana gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nauli ya daladala na bodaboda Ulitaka aitoe wapi? Na vocha za kukutafuta Ulitaka amjazie Nani?
 
Back
Top Bottom