Kwa aliye-serious natafuta mwanamke wa kuoa

Utamuwayesu

Member
Sep 30, 2018
15
45
Habari WanaJF ,
Naitwa Mwakarobo,
Naishi Dar,
Umri 33,
Dini mkristo,
Elimu nina shahada ya kwanza.
Kazi nimeajiriwa na kujiajiri mwenyewe.

SIFA ZA MKE NI MTAKAE
Umri 20-39
Kabila lolote,
Dini yeyote,
Awe anaishi morogoro au Tanga.
Awe na uwezo wakusimamia miradi.
Akiwa na mtoto sawa kama hana napo sawa.
Awe tayari kupima ukimwi.
Awe mpenda maendeleo.

Wasiliana nami pm ili tupeane mawasiliano.

Asanten Sana
 

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
61,016
2,000
**Habari Wana jf,
Naitwa mwakarobo,
Naishi dar,
Umri 33,
Dini mkristo,
Elimu nina shahada ya kwanza.
Kazi nimeajiriwa na kujiajiri mwenyewe.
SIFA ZA MKE NI MTAKAE
Umri 20-39
Kabila lolote,
Dini yeyote,
Awe anaishi morogoro au Tanga.
Awe na uwezo wakusimamia miradi.
Akiwa na mtoto sawa kama hana napo sawa.
Awe tayari kupima ukimwi.
Awe mpenda maendeleo.
Wasiliana nami pm ili tupeane mawasiliano.Asanten Sana
Usiishie kumpima ukimwi tu, ila wote wawili mkapimwe kichaa pia, mkapimwe sickle cell, mkapimwe kifafa na magonjwa mengine yasiyo ya kuambukiza ila yanarithika, msije mkatuharibia watoto wa Taifa la kesho
 

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
10,546
2,000
mkuu kwanini unatafuta mke anaekaa mabili na ww

ww upo dar unatafuta mke wa Moro au Tanga, tupe siri mkuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom