bro kay
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 254
- 219
Wakuu, habari za uzima.
Foundation program ni course ya mwaka mmoja inayofundishwa katika chuo kikuu huria ikiwa na kama daraja kwa wahitimu(form four, form six au colleges )wanaotaka kwenda chuo kikuu ila hawajafikisha vigezo.
Hivyo kuna vigezo ukifikisha baada ya kumaliza hii foundation program unaweza kwenda chuo moja kwa moja.
Je kuna mtu ambaye amewahi kusoma hii course? Au kama unamfahamu yeyote aliyesoma hii course na kufaulu, Je kuna ugumu wowote kwenda chuo kikuu?? Au kuna usumbufu wowote?? Kwasababu nmesikia watu walio soma hii program huwa wanatemwa wakati wa kufanya application za chuo kikuu, hivyo natamani kujua kwa undani zaidi.
Ahsanteni sana.
Nawasilisha.