Kwa albam hii, Ali Kiba ndio king kweli wa bongo fleva

Kajeba

JF-Expert Member
Oct 15, 2020
800
1,921
Wakuu

Alikiba hapewi sifa anazostahili.

Kibongobongo mpaka sasa hana mpinzani maana wengine wote wanacopy & paste.

Albam zao huboa sana kwani hukusanya nyimbo zao tu zilizotolewa huko nyuma na kusema ni album.

Alikiba only king ameitendea haki bongo fleva. Tunapata ladha ya mziki wa Tanzania tofauti na hayo ya kinaijeria na amapiano.

Kudos kwako King Kiba
 
images (27).jpeg

When music was music, sidhani kama kutakuwaga na album kama hizi za bongo flavor. Sahivi wote chenga tu
 
Unadhani show za nje zinalioa sana kushinda za nyumbani? Au unamsikiliza Domo ambaye anapenda kick za kugonga mademu?
 
Hii ni kutokana ba changamoto ya corona mkuu😂😂
Siku hizi corona imebeba visingizio lukuki😂😂

Umesikiliza nyimbo za kwenye album yake lakini???
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom