Kwa albam hii, Ali Kiba ndio king kweli wa bongo fleva

ngoma za kawaida sana tena sana za kuchagua yani ndo unapata kama hiyo oya oya sijui nimeangalia video sijamaliza nikaacha. Nyimbo kama gospal hazina vina wala mizani, yani jamaa bila ile sauti kwa sasa ni mweupe sana kwenye utunzi yamebaki mahaba tu huwezi muweka hata na mbosso kwenye utunzi akasimama.
Chuki sio nzuri mkuu
 
Wakuu

Alikiba hapewi sifa anazostahili.

Kibongobongo mpaka sasa hana mpinzani maana wengine wote wanacopy & paste.

Albam zao huboa sana kwani hukusanya nyimbo zao tu zilizotolewa huko nyuma na kusema ni album.

Alikiba only king ameitendea haki bongo fleva. Tunapata ladha ya mziki wa Tanzania tofauti na hayo ya kinaijeria na amapiano.

Kudos kwako King Kiba
Naam
 
Back
Top Bottom