Kwa akina dada: Hivi mwanaume wa kingoni ana nini?

Bachache,
Nimeipenda sana signature yako, ila kumbuka kitu kimoja. NYUKI AKISHAKUUMA MARA MOJA,RUKHUSA KUMPIGA BUSU. Kwa hiyo si kwamba nyuki huwa hapigwi busu, hapana. Unatakiwa umwache akuume kwanza, halafu utampiga busu kiulaini sana. Ila sasa hata hivyo, kwa nini uwe na hamu ya kumpiga busu nyuki? What should be the motive behind? Ila signature yako imenifurahisha sana

Hahahahaaa hii nayo ni kali ya mwaka, akikuuma mdomo unavimba hata hamu ya kubusu hakuna
 
wangoni wanaendana na jina wagoni, so mwanadada anayependa sana wangoni ujue yeye pia ni mgoni kinoma...(kwa wangoni, mi mhele)
 
mara nyingi hua n mazoba wa mambo furan hususani mapenz, wangoni hovyo!
 
sijakuelewa ktk sentensi yako hapo juu

Yaani akina dada wanapenda wanaume mazoba na wangoni ndio mazoba wanaongoza hapa afrika kusini mwa jangwa la sahara. Kwa hiyo automatically wa dada wanawapoenda wangoni.
 
Yaani akina dada wanapenda wanaume mazoba na wangoni ndio mazoba wanaongoza hapa afrika kusini mwa jangwa la sahara. Kwa hiyo automatically wa dada wanawapoenda wangoni.

Hahahahahah lol! kwa hiyo wanakuwa kama wale wanaodaiwa wamelishwa limbwataaaa :)
 
mimi na pearl tumejitolea kutafuta wangoni kwa ajili ya research. Tutawapa report.
PM mimi ni Mngoni
mngoni nipoo sisi ni wanomaaa jamani. kwanza jina la NYENGO kule kwetu ni kifaa flani cha kukatia nyasi. yeyote anayetaka RESEARCH NIPOOO NI PM
Wa njangu wa koleki?
wanavyodai wanaume wa kingoni mitarimbo yao ipo kama mwiko vile kwa hiyo huwa ni noma yaani hapa mbele huwa imevimba kama mwiko.
U kweli ni huu, wangoni ni wa wafupi na issue zao ni fupi na kwa mujibu wa wataalamu the shortest penis is very active
pia kwa ajili ya ufupi wao huwa hawapendi dharau hivyo hujishughulisha sana, ngoma za kingoni za kuanzia utotoni zinachangia, vyakula vya asili kama mihogo na nk
 
Wangoni hawana kinyaa, anauwezo wa kubinjuka na demu yeyote mahala popote wakati wowote bila mkewe kustuka maana dozi ya home inakuwa ileile
 
waulize wanaowasifia.....hahahaaaaaa...ulikimbiwa na demu halaf akaenda kwa mngoni nini?....tafuta mpalestina...ni wa ukweeeeeeeeeeeeee....:becky:
 
Wote mmekosea wango yaani sis mi watalamu wa kuzama chumvini ambocho weng wenu hukataa.
 
Jamani nahisi ni wote wanaume kwa wanawake wa kingoni ni wataalam wa mahusiano, kuanzia kuongea na wapenzi wao, treatment zao, na hata yale mambo ya kikubwa, mie kwa vile ni mwanamke naongelea mwanaume wa kingoni, huwa wanajua wamwambie nini mwanamke afurahi ndio maana wanaweza kuwa na wanawake hata wanne lakini kila mmoja kwa wakati wake, na hata wakigundua wamepangwa huwa bora wavumilie tu, Wangoni wanajua kuhudumia/gharamia mwanamke wake kulingana na kipato chake, huwa wacheshi huchoki kuongea nao sijui kwa nini ni karibu wote naowajua wako hivi,

Kwenye zile anga za ndani sio wavivu sijui huko kwao kuna kidarasa cha jando? maana laaaaa salaleeee utafikiria kile kitu chao ni mwiko halafu kinasonga ugali kwa sufuria lol? hatari lakini salama...... Wadada wengi wakigusa hapo huwa hawabanduki
mmh! mwengaa.ne gangu mihu.
 
wanavyodai wanaume wa kingoni mitarimbo yao ipo kama mwiko vile kwa hiyo huwa ni noma yaani hapa mbele huwa imevimba kama mwiko.
you got it right,maana hata mimi huwa nasifiwa kwa hilo ila mm sio mngoni.
kwa wadada kama unamtaka mtu wa namna hiyo angalia kidole gumba cha mkono, utakuta pale kinapoungana
na mkono ni kipana katikati kimebonyea na mbele kwenye kucha ni kipana hapo
kama umeombwa game na unataka mambo ya mwiko toa papuchi then fanya research hapo.
ila ukiniona mimi pita mbali yangu ina mwenyewe.
 
Wewe sasa unataka watu waanze research ....haya wekeni picha ya vidole vyenu kwenye avatar...hatutaki sura tena...
 
Back
Top Bottom