Kwa akili za haraka haraka, Mwenge/Morocco flyover na Selander bridge, kipi kilipaswa kuanza

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,035
40,700
Yaani kwa zile akili za haraka haraka tu bila kuumiza kichwa, unadhani ilibidi tuanze na kipi ili kupata matokea ya haraka na yenye tija na kwa ufanisi wa hali ya juu.
________________________________
IG: @marble_na_granite
 
Mimi ningechagua Salender, then Morocco mwisho Mwenge.

Kuna njia nyingi pale Morocco na Mwenge ila hakuna njia nyingine Salender.
 
Mimi ningechagua Salender, then Morocco mwisho Mwenge.

Kuna njia nyingi pale Morocco na Mwenge ila hakuna njia nyingine Salender.
 
Inaonekana hujui foleni ya Salender Bridge hasa wakati wa jioni ukiwa unatokea city centre unaweza kukaa masaa mawili na zaidi hujavuka Salender!
 
Back
Top Bottom