Kwa akili ya kawaida, watu wa maeneo ya Tandale, Temeke, Buza, Buguruni na Uswazi yooote wataweza kwenda Coco Beach kununua bidhaa?

Ahaaaa, naona unaleta jazba. WanaCcm mnamatatizo.
Mkuu Kamanda Asiyechoka, sio tunaleta jazba bali mambo mengine yanatia hasira, mfano kwenye hili la Coco Beach kubali tuu kuwa hujawahi kufika na ulikuwa hujui ni biashara gani inafanyika pale. Pale Coco Beach hakuna biashara ya bidhaa kusema wenzangu na mimi watakwenda kununua bidhaa au mahitaji, pale ni vibanda vya biashara moja tuu, makulaji ya vyakula, vitafunwa na mapochopocho only.
P
 
Sawa, makulaji na mapochopocho,lakini affordable kwa watu wa uswazi?
 
Humu JF tuna baadhi ya watu ni viazi sana!. Mwanzo nimekuuliza wewe umewahi kufika Coco Beach?. Ukisikia tuu vibanda vya machinga, akili yako ilivyo fupi, ukadhani ni vibanda vya bidhaa!. Mmachinga na mbangaizaji aende Coco Beach kufuata nini?!.

Kule nimekuwekea hadi video za biashara inayofanyika Coco Beach, lakini bado unang'ang'ana!.

Hao wabangaizaji wengi wanaokaa uswazi na jioni ndio mida ya kununua vitu baada ya shughuli zake ndio kisha aende Coco beach?!. Aende Coco Beach kununua nini?!. Unadhani Coco Beach ni soko la kununua bidhaa?. Vitu vingine uliza!.

Haya sasa nakusaidia tena kwa mara ya pili, Wasikilize machinga wa Coco Beach utajua ni vibanda vya nini!.

Na kama bandle ni issue huwezi kufungua video, pia utasaidiwa!.
P

Bwana Paskali achana na huyu pompompo nahisi hata Dar hajawahi fika
 
Watanzania wanamtindio wa Ubongo..hatuna shukrani...hatuna kumbukumbu tunatoka wapi tunaenda wapi...laiti ingekua hali ilivyokuwa mwanzo hapo ungepongeza hapo kidogo kwa hicho kilichofanyika hapo bado ni pilot
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom