Kwa ajira hii nifanyaje?

MIkawangu

Member
Feb 17, 2014
21
4
Nimeajiliwa toka mwaka 2012, mimi ni mbunifu majengo by profession, kazi ninayofanya ni ya profession yangu kwa asilimia ndogo lakini inahusika sana na mambo ya marketing.

Toka nimeanza kazi kila ninachofanya hakifanikiwi, tulikuwa na website lakini hamna tulichopata, kwa sasa tunadeal na bank equipments lakin napo naona giza naomba mawazo yenu wadau nin nifanya kwenye kwenye hii field ya constraction and design manake hata kazi naiona chungu kwa sasa
 
Mkuu komaa na fikiria jinsi ya kuimarisha mteremko n baadae
 
Kamua ndugu yangu, si kila anaekula maisha amepitia pazuri, wengine wametaabika mno!
So, ukifanya kazi kwa BIDII na MAARIFA utatoka tu (japo inaeza isiwe leo ama kesho, ila ipo siku utatoka)

Jambo la Msingi ni kumshirikisha Mungu na uhakikishe hata katika kidogo unachokipata toa fungu la kumi upeleke kwenye madhabahu ya pale unaposali
 
hii nchi bila msoto hutoku mkuu. "mwanzo mgumu" haikutungwa kwa bahati mbaya. inatulenga watoto wa wakulima aisee. kwahiyo kaka all I can say ni kaza tu.
 
duuh komaa tu, huku tafuta kazi nyingne, umesema unafanya markrting zaidi ya field yako, jaribu pia na kusaka kazi ya field yako, kuna watu wanajua kupiga kazi sio kutafuta, nahs ukiajiriwa na kampuni ya ujenzi kwenye kitengo chako unaeza fanya poa,..huko marketing sie wengine tuaobwabwaja 24/7...ila komaa sanaaaaaaaaa
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom