C Criterion JF-Expert Member Jan 8, 2008 11,797 11,890 Feb 26, 2017 #1 Wema Sepetu na wapambe wako. Unaonaja ukiona hii kipande? Unasikia nini moyoni mwako ukilinganisha themes hizi? Yesu Ndiye Njia, Kweli na Uzima mtu haendi kwa baba ila kwa njia ya Yesu!.
Wema Sepetu na wapambe wako. Unaonaja ukiona hii kipande? Unasikia nini moyoni mwako ukilinganisha themes hizi? Yesu Ndiye Njia, Kweli na Uzima mtu haendi kwa baba ila kwa njia ya Yesu!.
M malivawan10 JF-Expert Member Nov 22, 2012 541 310 Feb 26, 2017 #2 We fisiem mbona unaleta mambo haya ya Mungu ndan ya siasa ya fisiem
SHADOWANGEL JF-Expert Member Sep 15, 2014 528 349 Feb 26, 2017 #3 Zao la kanumba.......Nayo hii ni Habari ama
Honey Faith JF-Expert Member Aug 21, 2013 15,783 11,810 Feb 26, 2017 #4 Jamani hiyo si movie sasa inahisikana vipi hapo?
DuppyConqueror JF-Expert Member Mar 30, 2014 9,466 6,965 Feb 26, 2017 #5 Wapambe unamaanisha wauza poda wenzake??
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 278,618 1,128,563 Feb 26, 2017 #6 Wema muislam hapo alikua kazini(uigizaji) Mtoa mada acha kuitumia dini vibaya kisa mhusika kakukwaza.
Wema muislam hapo alikua kazini(uigizaji) Mtoa mada acha kuitumia dini vibaya kisa mhusika kakukwaza.
DuppyConqueror JF-Expert Member Mar 30, 2014 9,466 6,965 Feb 26, 2017 #7 All along nilijua huyu mtoto muislamu
DAFU NA NDIMU JF-Expert Member Aug 20, 2016 3,497 5,092 Feb 26, 2017 #8 Lucifa is busy taking as many souls as he can before the Judgement day. Pray brethren, pray!