Kwa aina ya Wanafunzi wa Mkoa wa Dar es Salaam walivyo nikisikia Shule za Dar es Salaam zinaongoza napatwa na Mashaka

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,876
Kama kuna Mkoa ambao huwa nikisikia kuwa imefanya vyema hasa katika Matokeo ya Kidato cha Nne na cha Sita hasa kutokana na jinsi ambavyo Wanafunzi wa Shule za Sekondari wa Mkoa huo walivyo na tunavyojuana nao hata Kimtaa mtaa ( Kisela ) huku na wengine hata tukikutana nao katika Harakati zetu za Kingono bila Kusahau Kucheza Kamari si Mkoa mwingine bali ni Mkoa wa Dar es Salaam.

Tusidanganyane hapa Matokeo ya Mkoa wa Dar es Salaam nahisi yatakuwa yanapikwa mno na Watendaji ( Wahusika ) kwa Uwoga wa mwenye Mkoa wake ili wenye Mamlaka ya Elimu kwa Mkoa wasitumbuliwe au hata Kufanyiziwa vile vile kwani mwenye Mkoa wake hataki Kingine zaidi ya Sifa ili aliyemteua azidi Kumuamini na Kumbakisha hapa nae aendelee zake Kula Bata.

Kuna Mikoa ambayo nikiambiwa imefanya vyema Kidato cha Nne na cha Sita wala sishangai ila kwa Mkoa wa Dar es Salaam na kwa aina ya hawa Wanafunzi ambao tunao na tunajuana nao 24/7 leo hii uniambie Wamefaulu na Mkoa umeongoza nitabisha hadi Siku ya Kiama.

Nikisikia Mikoa kama vile Mara, Kagera, Kigoma, Dodoma, Singida, Ruvuma, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, Iringa, Mtwara na Rukwa imefanya vyema nitakubaliana nao hao NECTA kwani siyo Siri hii Mikoa ndiyo inaongoza pia kwa kuwa na Watu wenye Akili ( Upeo ) mkubwa nchini Tanzania japo kwa bahati mbaya hata Mimi Mleta Uzi huu An Eagle sitokei katika Mkoa wowote tajwa hapo juu lakini siyo kwa huu wa Dar es Salaam ninaoujua Mimi.

Hapa tusidanganyane!
 
Wewe unaishi Bunda vijijini mkoani Mara ya Dsm unayajuaje? Acha kujichocha wewe
 
Bahati mbaya au nzuri Mleta Mada hii ( Uzi huu ) ni Mpemba kutoka Kisiwani na hata huko Mara huwa nakusikia tu kwakuwa najua ndipo alipotoka Rais wa Awamu ya Kwanza Hayati Baba wa Taifa Nyerere. Karibu mno Pemba hapa Mkuu uje Tupare wote Samaki.
 
Ivi kumbe we jamaa ni mla urojo, ndo Mana unapenda kulalamikia Sana nguvu za kiume
 
Kama kuna Mkoa ambao huwa nikisikia kuwa imefanya vyema hasa katika Matokeo ya Kidato cha Nne na cha Sita hasa kutokana na jinsi ambavyo Wanafunzi wa Shule za Sekondari wa Mkoa huo walivyo na tunavyojuana nao hata Kimtaa mtaa ( Kisela ) huku na wengine hata tukikutana nao katika Harakati zetu za Kingono bila Kusahau Kucheza Kamari si Mkoa mwingine bali ni Mkoa wa Dar es Salaam.

Tusidanganyane hapa Matokeo ya Mkoa wa Dar es Salaam nahisi yatakuwa yanapikwa mno na Watendaji ( Wahusika ) kwa Uwoga wa mwenye Mkoa wake ili wenye Mamlaka ya Elimu kwa Mkoa wasitumbuliwe au hata Kufanyiziwa vile vile kwani mwenye Mkoa wake hataki Kingine zaidi ya Sifa ili aliyemteua azidi Kumuamini na Kumbakisha hapa nae aendelee zake Kula Bata.

Kuna Mikoa ambayo nikiambiwa imefanya vyema Kidato cha Nne na cha Sita wala sishangai ila kwa Mkoa wa Dar es Salaam na kwa aina ya hawa Wanafunzi ambao tunao na tunajuana nao 24/7 leo hii uniambie Wamefaulu na Mkoa umeongoza nitabisha hadi Siku ya Kiama.

Nikisikia Mikoa kama vile Mara, Kagera, Kigoma, Dodoma, Singida, Ruvuma, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, Iringa, Mtwara na Rukwa imefanya vyema nitakubaliana nao hao NECTA kwani siyo Siri hii Mikoa ndiyo inaongoza pia kwa kuwa na Watu wenye Akili ( Upeo ) mkubwa nchini Tanzania japo kwa bahati mbaya hata Mimi Mleta Uzi huu An Eagle sitokei katika Mkoa wowote tajwa hapo juu lakini siyo kwa huu wa Dar es Salaam ninaoujua Mimi.

Hapa tusidanganyane!
Nafikiri usiangalie mkoa bali shule husika.
 
Unasahau wazazi wa DSM tuna invest sana kwa ajili ya watoto wetu, na ndio maana shule nyingi na nzuri za private zinajengwa kwa wingi, na zenye walimu wazuri pamoja na mazingira mazuri ya kujisomea. Labda uniambie specifically ni shule zipi zinakushangaza, usi generalize!
 
Kama kuna Mkoa ambao huwa nikisikia kuwa imefanya vyema hasa katika Matokeo ya Kidato cha Nne na cha Sita hasa kutokana na jinsi ambavyo Wanafunzi wa Shule za Sekondari wa Mkoa huo walivyo na tunavyojuana nao hata Kimtaa mtaa ( Kisela ) huku na wengine hata tukikutana nao katika Harakati zetu za Kingono bila Kusahau Kucheza Kamari si Mkoa mwingine bali ni Mkoa wa Dar es Salaam.

Tusidanganyane hapa Matokeo ya Mkoa wa Dar es Salaam nahisi yatakuwa yanapikwa mno na Watendaji ( Wahusika ) kwa Uwoga wa mwenye Mkoa wake ili wenye Mamlaka ya Elimu kwa Mkoa wasitumbuliwe au hata Kufanyiziwa vile vile kwani mwenye Mkoa wake hataki Kingine zaidi ya Sifa ili aliyemteua azidi Kumuamini na Kumbakisha hapa nae aendelee zake Kula Bata.

Kuna Mikoa ambayo nikiambiwa imefanya vyema Kidato cha Nne na cha Sita wala sishangai ila kwa Mkoa wa Dar es Salaam na kwa aina ya hawa Wanafunzi ambao tunao na tunajuana nao 24/7 leo hii uniambie Wamefaulu na Mkoa umeongoza nitabisha hadi Siku ya Kiama.

Nikisikia Mikoa kama vile Mara, Kagera, Kigoma, Dodoma, Singida, Ruvuma, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, Iringa, Mtwara na Rukwa imefanya vyema nitakubaliana nao hao NECTA kwani siyo Siri hii Mikoa ndiyo inaongoza pia kwa kuwa na Watu wenye Akili ( Upeo ) mkubwa nchini Tanzania japo kwa bahati mbaya hata Mimi Mleta Uzi huu An Eagle sitokei katika Mkoa wowote tajwa hapo juu lakini siyo kwa huu wa Dar es Salaam ninaoujua Mimi.

Hapa tusidanganyane!
UDSM ipo Dar, kila siku wanapita wanaiona hivyo wacha wafaulu maana wanavutiwa nacho
 
Binafsi nimesoma mkoani huko, nilifanya bidii kama zote ili ije siku nisome chuo kikuu dasilamu.... hizo shule unazoona zimeongoza wanafunzi wake sio hao unaokutana nao.
 
Back
Top Bottom