Kwa aina hii ya mkurugenzi/msimamizi wa uchaguzi, CCM itaachaje kupewa ushindi wa mezani Kwa mfano. Lazima CCM ipewe ushindi

Taifa lote lipo Msibani Bado kuna Mamluki wanaongelea Uchaguzi
Hakuna hiyo mkuu , jibuni hoja wanafiki wakubwa nyie ! na kwa taarifa yako rambi rambi yangu nitamkabidhi mbunge wa Ukerewe , simpi yeyote mwingine , nimejifunza kutoka kwenye tetemeko
 
Hakuna hiyo mkuu , jibuni hoja wanafiki wakubwa nyie ! na kwa taarifa yako rambi rambi yangu nitamkabidhi mbunge wa Ukerewe , simpi yeyote mwingine , nimejifunza kutoka kwenye tetemeko

Nipe definition ya Unafiki ili nikupe ushahdi wa Unafiki wako Na chama chako Na Viongozi wako!
 
Wako wakurugenzi wengi tu wa wilaya kama hawa ambao hata bila kumwuliza swali ukimwangalia tu usoni unajua uwezowake was kufikiri na akilizake zikoje! Hapa ndipo alipotufikisha.
 
CCM NI CHAMA DOLA NA KAMA HUPENDI AMA KUFA AU HAMA NCHI!
Na kwa kuwa wewe unajiona ni mtu wa "Chama Dola" umejipachika madaraka ya kimungu kuwaamrisha wasio 'Chama Dola' Wafe au Wahame nchi' kana kwamba nchi hii ni mali yako! Watu wenye 'mentality' kama yako sijui mtajificha wapi waTanzania watakapoamua kuondokana na manyanyaso yenu haya.
 
Bado kitambo kidogo sana !
 
Its a real pity!!!! Hivi CHADEMA(na vyama vingine mbadala) wanaweka kumbukumbu za haya mambo vizuri? Naamini zitkuja kusaidia baadae, isije siku ya siku ikafika kukawa hakuna kumbukumbu (references) yoyote.
 
Kwa aina hii ya mkurugenzi/msimamizi wa uchaguzi, CCM itaachaje kupewa ushindi wa mezani Kwa mfano. Lazima CCM ipewe ushindi
Ifike mahali tuache kulialia! Mtu kama huyu analiwa timing, anakamatwa, anabakwa Mara 32 halafu anaachiwa huru ili akawasimulie wa nyumbani kwake! Mama mjinga kabisa huyu! Eti hapigi debe wakati anasema.kabisa kwamba CHADEMA wasigombee!!
 
Back
Top Bottom