Kwa AIBU hii mliotutia Watanganyika kuna kila sababu zanzibar kuharakisha kujiunga FIFA na CAF!

dega

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
3,138
3,022
Siyo siri Watanganyika mna roho mbaya sana nyinyi mpira hamuujui lakini bado kwa roho zenu za kichawi bado mnakwaza jitihada za ZANZIBAR kujiunga na mashirika ya mpira ya Kimataifa

Fedha toka FIFA, ZANZIBAR hamuzifikishi mnazifyeka zote lazaidi miaka kama mitatu iliyopita ZANZIBAR ilipata uwanachama CAF mkapanda mkishuka mpk ZANZIBAR ikafutiwa uwanachama wake

Ndugu zetu nyinyi furaha za nyoyo zenu nikuwaona Wazanzibar wanadhikika hawana mbele hawana nyuma

Msijifanye mumesahau ninawakumbusha ZANZIBAR ni mishindi wa pili wa CECAFA baada kushundwa na Kenya ktk mechi ya fainali

Na jinsi milivyokua hamna haya mlipoona kabumbu wanalolitandaza watoto wadogo mkatia choko choko zenu mpaka wakachukuliwa vipimo vya kuangaliwa ETI mna wasiwasi wametumia dawa za kuongeza nguvu

NYINYI ZENU NI NGOMA ZA KISUKUMA KABUBUMBU TUACHILIENI WENYEWEE
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom