Kw wana'UDSM, naombeni msaada kwa hili

Sep 8, 2011
41
3
Wapndwa naomba msaada kwa yeyote aliyeko chuo kama anaweza kunisaidia kunichekia timetable ya sup kwa somo la EC.116 inafanyika lini. Plz naombeni msaada.
 
We nae acha leta ishu ka za wapuuzi wachache wa udom,ina maana huna m2 unaemfaham akakuchekia hadi ulete k2 ka hki humu jf?unadhalilisha bana.
 
Mmemaliza!! Haya chapen lapa cz ckuhtaj wa2 km nyie mco na upeo kunipa majbu. Wapuuz sna nyie.@mzee na senetor.
 
Majibu ya kise***** ayo wakuu..shikeni adabu....ukiona mada haikuhusu toka huitaji kuandika use** hapa.
 
ndugu supp timetable ipo kwenye web kwa nn uulize hapa? huo unakuwa ushamba sio utani.
 
Naombeni kufahamishwa kama hukupata mkopo kuhusu Meals & Accomodations unatakiwa kuzilipa ama inakuaje?
 
Hawa watu wavivu wa kusoma ndo watasign mikataba kama ya magamba nenda web ya chuo, uliza wenzio,piga simu chuo vyoote hiv hujaona
 
Naombeni kufahamishwa kama hukupata mkopo kuhusu Meals & Accomodations unatakiwa kuzilipa ama inakuaje?

unachotakiwa kulipa ni pesa ya accomodations. Meals hiyo ni ya kwako ya kula na mambo mengine.
 
hvi una akili kweeeeli,website ya chuo kazi yake nini???

untaka kusema huna rafiki hata mmoja ambae yupo dara akaenda chuo kukusaidia kucheki???

hebu jiheshimu na uache uvivu.

Nakushukuru @Mzee kwa msaada wako. Ila @senetor na mikataba feki ni vizuri kumjibu mtu tena mwanadamu kuthibitisha kwamba nanyi ni wanadamu alichokiuliza kuliko mabango yasiyokuwa na SULUHU kwa swali husika, kumbukeni hata Dsm ilikuwa kijiji kama yalivyomapori unayoponda na jiji lenu linayategemea sana. No one came from Universe without passing normal human Procedures! DsM is not Heaven that who live to other regions should be in simple world of which are be Scandalized, persecuted. Those I term as Dogmatic Ideas, thoughts. Think clear take actions!
 
Pole mkuu hawa watu wazoee, ila kama umeanza na EC 116 vp Karamagi utamuweza? Nipo via mobile, ningekuchekia.
 
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
SUPPLIMENTARY/SPECIAL EXAMINATIONS FOR CONTINUOUS 2010/2011
(FINAL DRAFT)
[h=2]Group: EC116 [1][/h] Fullscreen Index Help Finder Disable JavaScript [h=3]SUPP[/h]
Weeks: 1

Wk 1, 10/7/2011
ATB
EC116, EC216
Wk 1, 10/3/2011 07:00- 07:55 08:00- 08:55 09:00- 09:55 10:00- 10:55 11:00- 11:55 12:00- 12:55 13:00- 13:55 14:00- 14:55 15:00- 15:55 16:00- 16:55 17:00- 17:55 18:00- 18:55 19:00- 19:55 MONDAY 10/3/2011 TUESDAY 10/4/2011 WEDNESDAY 10/5/2011 THURSDAY 10/6/2011 FRIDAY 10/7/2011

UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
SUPPLIMENTARY/SPECIAL EXAMINATIONS FOR CONTINUOUS 2010/2011
(FINAL DRAFT)

Created by timetable with CELCAT Web Publisher on 9/27/2011
 
nakushukuru na Mungu akuzdshie busara na upendo.
 
hahahahahahaaa.....!! Kile chuo hakchagui m2 wa mjin wala wa shamba. Mi nnachojua kile n chuo ch watoto w wawakulima kam mimi. Wewe je!?

Achana na huyo senetor, still he is a first year aliyeipata nafas hyo kwa kubahatisha bahatisha. Nimeligundua hilo kupitia threads zake na comments.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom