Trice Sturmius
Member
- Sep 8, 2011
- 41
- 3
Wapndwa naomba msaada kwa yeyote aliyeko chuo kama anaweza kunisaidia kunichekia timetable ya sup kwa somo la EC.116 inafanyika lini. Plz naombeni msaada.
We nae acha leta ishu ka za wapuuzi wachache wa udom,ina maana huna m2 unaemfaham akakuchekia hadi ulete k2 ka hki humu jf?unadhalilisha bana.
Mmemaliza!! Haya chapen lapa cz ckuhtaj wa2 km nyie mco na upeo kunipa majbu. Wapuuz sna nyie.@mzee na senetor.
Naombeni kufahamishwa kama hukupata mkopo kuhusu Meals & Accomodations unatakiwa kuzilipa ama inakuaje?
Mmemaliza!! Haya chapen lapa cz ckuhtaj wa2 km nyie mco na upeo kunipa majbu. Wapuuz sna nyie.@mzee na senetor.
we cdhan kama uko udsm kweli,maana pale hamna wa2 wapori pori kama wewe....
Wk 1, 10/7/2011 ATB EC116, EC216 |
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAMSUPPLIMENTARY/SPECIAL EXAMINATIONS FOR CONTINUOUS 2010/2011[h=2]Group: EC116 [1][/h] Fullscreen Index Help Finder Disable JavaScript [h=3]SUPP[/h](FINAL DRAFT)
Weeks: 1
Wk 1, 10/3/2011 07:00- 07:55 08:00- 08:55 09:00- 09:55 10:00- 10:55 11:00- 11:55 12:00- 12:55 13:00- 13:55 14:00- 14:55 15:00- 15:55 16:00- 16:55 17:00- 17:55 18:00- 18:55 19:00- 19:55 MONDAY 10/3/2011 TUESDAY 10/4/2011 WEDNESDAY 10/5/2011 THURSDAY 10/6/2011 FRIDAY 10/7/2011
Wk 1, 10/7/2011
ATB
EC116, EC216
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAMSUPPLIMENTARY/SPECIAL EXAMINATIONS FOR CONTINUOUS 2010/2011(FINAL DRAFT)
Created by timetable with CELCAT Web Publisher on 9/27/2011
Pole mkuu hawa watu wazoee, ila kama umeanza na EC 116 vp Karamagi utamuweza? Nipo via mobile, ningekuchekia.
hahahahahahaaa.....!! Kile chuo hakchagui m2 wa mjin wala wa shamba. Mi nnachojua kile n chuo ch watoto w wawakulima kam mimi. Wewe je!?
We nae acha leta ishu ka za wapuuzi wachache wa udom,ina maana huna m2 unaemfaham akakuchekia hadi ulete k2 ka hki humu jf?unadhalilisha bana.