Kuzuru makaburi

njia ya saada

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2018
Messages
284
Points
250

njia ya saada

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2018
284 250
18739779_229815624184407_1626599853401872347_n.jpg

Ni sunna kuzuru makaburi kwa wanaume kwa lengo la kuwaidhika na kuwaombea wafu, kwa kuwa Mtume ﷺ alisema: (Niliwakataza kuzuru makaburi, basi sasa yazuruni, kwani hayo yanawakumbusha Akhera) [Imepokewa na Muslim.].

Miongoni mwa dua zilizokuja za kuombwa wakati wa kuyazuru makaburi ni: (Amani iwafikie nyinyi, enyi mlio kwenye nyumba ya watu Waumini! Na sisi pale atakapo Mwenyezi Mungu ni wenye kukutana nanyi) [Imepokewa na Muslim.].

Au (Amani iwashukie watu wa nyumba hizi kati ya walioamini na kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu Awarehemu waliotangulia na waliokuja nyuma. Na sisi atakapo Mwenyezi Mungu ni wenye kukukutana nanyi) [Imepokewa na Muslim.].

(Namuomba Mwenyezi Mungu Atuafu sisi na nyinyi) [Imepokewa na Muslim.].

Na lau atawaombea rehema na msamaha na mfano wake, basi hilo linafaa.

https://www.al-feqh.com/sw/swala-ya-janeza
 

Tokyo40

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Messages
2,014
Points
2,000

Tokyo40

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2013
2,014 2,000
Karibu katika kila jamii wanakwenda makaburini kuwakumbuka wafu wao. Wajapani wanakwenda mwezi wa nane (Obon Festival).

Malaysia na Indonesia, wanawake pia wanaruhusiwa kwenda kuzika na kwenda makaburi ya Kiislamu. Huwa wanakwenda siku mmoja kabla ya ramadhani na huwa wanafanya "picnic" makaburini siku ya idi kusheherekea pamoja na wafu wao. Wengine wanakwenda wakati wa mwaka mpya.Sent using Jamii Forums mobile app
 

Jabari XVI

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Messages
547
Points
1,000

Jabari XVI

JF-Expert Member
Joined May 31, 2018
547 1,000
Wee tu...ujanja wa binadamu huyu mwenye nyodo, mdomo mchafu,kiburi na dharau ni pale asee!

Tunaitaga " mwisho wa nyodo"

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ndo fumbo letu aisee..... ... Isingekuwa hiyo dunia ingejaa uonevu wa kila kila namna huenda siye wanyonge tungetandazwa kama zuria ili miamba ipite juu yetu.. . ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

witnessj

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Messages
16,756
Points
2,000

witnessj

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2015
16,756 2,000

Forum statistics

Threads 1,391,774
Members 528,461
Posts 34,088,458
Top