Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 10,526
- 13,013
Naam,
bwana mkubwa leo ameezungumza na watalam wa Afya sijui anazungumza nini?
unazungumza na watu wenye njaa . watu hawa uliowatukana, kuwasimanga na kuwakebehe nchi nzima leo bila soni ati unawaita ikuli kwenda kuwaonesha maghorofa au kitu gani?
Mshahara sio hisani, upo kwa mujibu wa sheria hujaongeza kwa siku zote ati wajenga madaraja na kununua ndege alokwambia wanakula ndege nani?