Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,011
- 144,371
Huyu anaongea kama ameshanganyikiwa akili kabisa mtoto darasa la kwanza hajui chochote atapata vipi mimba?..yule jamaa mwingine anadai eti darasa la kwanza wanaweza kujiunga shule wakiwa waja wazito!!
..wakati mwingine ana mawazo mazuri tatizo liko ktk uwasilishaji. Matumizi yake ya lugha hayapendezi wakati mwingine.
Hebu mchokonoe,muulize vp katika hili?Dada yangu alipata mimba akiwa form 2.. Alipojifungua aliendelea kusoma na sasa ni mwandishi wa habar...mzee n fan mkubwa sana wa JPM..hapa hajatoa kauli kauchuna...hehehehe
Nayeye kaguswa sasa mwambie asizuge asifie na hilo...Dada yangu alipata mimba akiwa form 2.. Alipojifungua aliendelea kusoma na sasa ni mwandishi wa habar...mzee n fan mkubwa sana wa JPM..hapa hajatoa kauli kauchuna...hehehehe
Wewe ndiye usiyejitambua na mvivu.Huyu anaongea kama ameshanganyikiwa akili kabisa darasa la kwanza hajui chochote atapata vipi mimba?
Jinga lao acha uzuzu....kwani wenye precosious puberty ni wangapi hadi wajae darasani? Hapa tz tu unaweza ukawatafuta hao wa kuzaa miaka 5 usipate hata mmoja
Siku hz chadema haieleweki (waliokuwa wanayataka leo wanayaponda), tafsiri yake ni kwamba wangeshika dola wangefanya mambo ya hovyo sana!
Dah kwahyo mtu kusema wapewe chance ya pili ndio kupinga???Siku hz chadema haieleweki (waliokuwa wanayataka leo wanayaponda), tafsiri yake ni kwamba wangeshika dola wangefanya mambo ya hovyo sana!
Huyu anaongea kama ameshanganyikiwa akili kabisa darasa la kwanza hajui chochote atapata vipi mimba?
Ingekuwa ni awamu hii ndoto zake zingekuwa zimezikwa!Dada yangu alipata mimba akiwa form 2.. Alipojifungua aliendelea kusoma na sasa ni mwandishi wa habar...mzee n fan mkubwa sana wa JPM..hapa hajatoa kauli kauchuna...hehehehe
Ingekuwa ni awamu hii ndoto zake zingekuwa zimezikwa!Dada yangu alipata mimba akiwa form 2.. Alipojifungua aliendelea kusoma na sasa ni mwandishi wa habar...mzee n fan mkubwa sana wa JPM..hapa hajatoa kauli kauchuna...hehehehe
Mama hana elimu wala kazi na baba kafungwa miaka 30 kwa kumpa mama yake ujauzito, mtoto ataishije atakapozaliwa?Dada yangu alipata mimba akiwa form 2.. Alipojifungua aliendelea kusoma na sasa ni mwandishi wa habar...mzee n fan mkubwa sana wa JPM..hapa hajatoa kauli kauchuna...hehehehe
Hizi propaganda zijibiwe wapi! Humu JF? Hujasikia kuwa hakuna siasa hadi 2020 isipokuwa kwa mwenye chama "twawala"?..anaamini ktk propaganda.
..huwezi kumlaumu sana kwasababu so far proganda hizo zimewalipa vizuri.
..anatakiwa mtu mwenye uwezo wa kuzijibu propaganda zake.
Siku hz chadema haieleweki (waliokuwa wanayataka leo wanayaponda), tafsiri yake ni kwamba wangeshika dola wangefanya mambo ya hovyo sana!
Ulimuona polepole anawaambia wana-kibaha eti "mmemuona jeeembee?"Tumechoka na vijembe