mwaJ
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 4,074
- 2,947
NECTA tunaomba matokeo yawe siri! kha!
Tatizo mnafikiri kujua kuwa mtu ni "bongolala" au "kichwa" kunapimwa kwa matokeo ya NECTA peke yake. Ni mambo mengi yanaweza kukufanya utambue aina ya mwanaume anayekutokea bila hata kujua NECTA waliotoa matokea ya aina gani maana hakuna anayeomba vyeti vya shule katika hayo masuala. Bongolala hajifichi kirahisi.