Kuzingatia "vichwa": Wanawake sio ubaguzi huu??

Halafu kweli wanaume ambao kwa darasa sio vizuri hata mahusiano yao sio mazuri hawajui mapenzi kwa kweli(simaanishi kitandani
utaenjoy kwa kweli.
...


Haapo chacha... Kumbe hata sisi mabongolala tuna pa kuwakamatia... Wakati unaenjoy, na litoto linatokea hapo hapo, tena pacha...
 
Reasoning naikubali ila action ndio natofautiana kidogo. Ni kweli DNA ya baba ndio ya mtoto which includes all hereditary traits ila malezi ya mama mmoja nayo ni risk hata kama factors nyingine zina hold.
 
Mimi nilipata daraja la kwanza kidato cha iv na vi....ila ndio nabrash viatu hapa stand(maisha yamenichapa kisawa sawa)ila kwa thread hii ntaanzisha deal la kuwa dume la mbegu.
 
Sijui wabeba maboksi wengine lakini mimi sikupata divisheni wani fom foo. Nilipata divisheni foo na kwenye ukoo wetu hakuna hata mmoja mwenye shahada ya kwanza. Kuna mmoja ana advansidi diploma na yeye ni ndugu wa mbali sana.

Kwa hiyo imekula kwangu mie. Ni mwendo wa kukimbizana na akina Habiba wauza vitumbua tu. Akina Cynthia, Gladys, Jessica, na Stephanie siwawezi mie.
MKUU ACHA UTANI HIVI UNAITWA Dr. NANI VILE, SIJAKUBALI KUWA WEWE NI MBEBA MABOKSI ANYWAY NI MTAZAMO TU
 
MKUU ACHA UTANI HIVI UNAITWA Dr. NANI VILE, SIJAKUBALI KUWA WEWE NI MBEBA MABOKSI ANYWAY NI MTAZAMO TU
Yaleyale kwenu msomi ni yule anayeijuwa vizuri Lugha ya kikristo, unang'ang'aniza kumpa Udokta wakati yeye amekwambia ni Form Four Graduate! nadhani wewe kwa imani hizi utasema Kiranga ni Profesa wa Oxford University!!
 
Shaabukda, the point is: mbona sasa Mwanaasha amechemsha?

Sababu za kuchemsha zaweza kuwa nyingi. Inawezekana alikuwa ni mzembe wa kusikiliza darasani na kujisomea. Inawezekana labda hupatwa na uoga wa hali ya juu wa kufanya mitihani (test/exam anxiety), inawezekana yeye si test/exam taker mzuri - kuna watu ambao ni good test takers. Au inawezekana kweli akawa si academically gifted student.

Kwa hiyo kwangu matokeo mabaya ya mtu ya shuleni si kiashiria cha akili. Vile vile matokeo mazuri hayamaanishi wewe ni "kichwa".
 
Mwali asante sana maana uzuri wake hata humu humu JF ni rahisi kuvijuwa vichwa bila hata ya hizo Degree, hii ni moja ya sababu ya mtu kuitwa kichwa, Understanding.

Enhe. . . mf. wa 'vichwa' humu JF?
 
Last edited by a moderator:
wewe watafuta nani.engeneer,architect,dokta,au kamwalimu ka chekechea?
Dah! Sehemu zilizoendelea, mwalimu wa chekechea hulipwa kama daktari. Na wengi wao huwa na Masters na kuendelea.
 
Na huwezi kufundisha elementary school bila bachelor's degree na teaching license...
Yep yep, na ma principals wengi ni ma-Phd. Wangejua ualimu unavyoheshimika!, hasa akiwa na wito wa ualimu. Watu wanaacha wall street jobs kwenda kufundisha watoto wenye akili taahira.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom