Kuzingatia "vichwa": Wanawake sio ubaguzi huu??

Jamani mimi pia naunga hili, kama umeamua kula nguruwe tafuta aliyenona. Jamani brain lazima ifanye kazi, simaanishi wale walioiba paper za mtihani ndio wenye akili bali akili lazima ziambatane na hekima na fikira bunifu.
 
usijali preta... Jamaa aliniacha form one form four ana wani ya saba,six ya tatu .... Ukijumlisha ya kwangu ya kumi na tano na ya 7 six katoto ketu katakuwaje?

Wallah nakuhakikishia katakuwa ka Neil Armstrong.....

Duh! hivi mama alivyoniambia kua uyaone kumbe sio magorofa eh?
Manake nilivyooazima vyeti nikapata kazi kwenye hili gorofa refu nilijua kazi kwishney!
Haya ngoja niende tena kuazima vyeti nitarudi-
nisijekosa yai la ku'fertelize' ili kutimiza amri ya Mungu ya kushiriki katika hizi mbio za kuijaza dunia hii hivihivi
 
JB WISER
Hahahahahaha usijali bana mwanaume kamili we umefikia kiwango, na vigezo vyote vilizingatiwa. Unajua 'kichwa' hakipimwi kwa a, e, i, o, u tu. Hizo wapo waliokariri tu na sio wanajua kwahiyo sidanganyiki nao. Kichwa cha ukweli ni kile kilichofaulu elimu ya mtaani kama cha mwanaume kamili.
Ndio maana huwa napinga Binadamu wote si sawa, najuwa tuko hapa kuchallenge Bongo zetu lakini inasikitisha sana wale wanaoitwa wasomi wa Bongo kuja kupata ushauri na usaidizi wa vitu ambavyo vimebase zaidi Academicaly kwangu mimi msomi wa Street University wakati mimi nilipaswa kupata consultation kwao!!

All in all hakuna mtu anyetetea uzezeta lakini vilevile ni lazima tukubaliane kwamba kuna wenye vyeti na kuna wenye elimu Regardless wana vyeti au hawana, mfano hai tulijionea wenye hivi majuzi tu hapa Bungeni kwenye uchaguzi wa Wabunge wa EA kuna Masters holders na Phd Holders walishindwa hata kujieleza pale Bungeni kwa Lugha ya Kikristo.
 
"Eventually I came to conclude that I could not find real knowledge in academic life, only hierarchies of knowledge that led, ultimately, to more hierarchies, not to more knowledge. I began to see university learning as limited, human, and relative. What was seen as absolutely up-to-date did not consider the infinite and timeless." - Sharon Daniels, author, The World of Truth

Schools teach children to obey. They espouse the things we-the ruling generation-want kids to know. No wonder most schools are pressure cookers where bored teachers meet bored children.... Modern education is a wasted investment. It doesn't deliver what we need the most: creative answers to the challenges of our times... It isn't a surprise that many of the people who've had the greatest influence on our times were-from the perspective of education-failures. - Jurriaan Kamp, Ode magazine editor.

The College Dropouts Hall of Fame: Famous college dropouts, successful college dropouts, and rich college dropouts

Hivi wazazi wa Messi nao walikuwa ni vichwa eh?
 
Ila unapata mtu kafeli form four, akafanya business na sasa anamiliki guest house mbili ana fuso kadhaa, anamaduka ya vitu vya kutoka china pale kkoo, ana mashine za offset printing, mashamba ya ngano! Hivi we mwanamke mwenye division one ya form four na six sasa umeajiriwa umepata ka-spacio ka mkopo ofisini utapata nguvu ya kumkataa mtu huyo? Njemba form four lakini we na vidigrii vyako unaweza akakuajiri.
 
Ndio maana huwa napinga Binadamu wote si sawa, najuwa tuko hapa kuchallenge Bongo zetu lakini inasikitisha sana wale wanaoitwa wasomi wa Bongo kuja kupata ushauri na usaidizi wa vitu ambavyo vimebase zaidi Academicaly kwangu mimi msomi wa Street University wakati mimi nilipaswa kupata consultation kwao!!

All in all hakuna mtu anyetetea uzezeta lakini vilevile ni lazima tukubaliane kwamba kuna wenye vyeti na kuna wenye elimu Regardless wana vyeti au hawana, mfano hai tulijionea wenye hivi majuzi tu hapa Bungeni kwenye uchaguzi wa Wabunge wa EA kuna Masters holders na Phd Holders walishindwa hata kujieleza pale Bungeni kwa Lugha ya Kikristo.

Mwanaume kamili akili za darasani ZINANUNULIKA, na pia kuwa nazo hizo sio guarantee kwamba mt atayaweza maisha. Kuna watu huko waliona hawawezi ila bado zinalipa sana tu. Asikudanganye mtu na cheti kwenye fremu. . .inaweza ikawa kazi na bure hata kama kimeandikwa Dr Fulani.
 
Nyani Ngabu Kwani wabeba box sio 'vichwa'?!Wote?

Sijui wabeba maboksi wengine lakini mimi sikupata divisheni wani fom foo. Nilipata divisheni foo na kwenye ukoo wetu hakuna hata mmoja mwenye shahada ya kwanza. Kuna mmoja ana advansidi diploma na yeye ni ndugu wa mbali sana.

Kwa hiyo imekula kwangu mie. Ni mwendo wa kukimbizana na akina Habiba wauza vitumbua tu. Akina Cynthia, Gladys, Jessica, na Stephanie siwawezi mie.
 
Kwa system ya sasa wizi wa mitihani kuanzia primary mpaka chuo hatuna tena imani na kusema huyu mtu ni kichwa au kilaza
Watu mpaka maandiko ya kumaliza degree za chuo wananunua
So hicho kigezo cha kumjua huyu ni kichwa au sio hapo ni balaa
 
Kaaazi tunayo sie wanaume this time..................chambuliwa chambuliwa tuuuuuuu

Na mtuwekee top ten ya vigezo ili tujipange sasa maana ishu si mahari tena kumbe..........Lizzy, Mwa J, Pretta, Hapuch, Mwali, Madame X, Canta....... na woooote mtusaidie maana we approaching a disqualification bound
 
Sijui wabeba maboksi wengine lakini mimi sikupata divisheni wani fom foo. Nilipata divisheni foo na kwenye ukoo wetu hakuna hata mmoja mwenye shahada ya kwanza. Kuna mmoja ana advansidi diploma na yeye ni ndugu wa mbali sana.

Kwa hiyo imekula kwangu mie. Ni mwendo wa kukimbizana na akina Habiba wauza vitumbua tu. Akina Cynthia, Gladys, Jessica, na Stephanie siwawezi mie.

Kuna mabox mengine yanahitaji 'kichwa' ujue. . . kama lako linahusu basi hiyo div 0 tupa kule maana na wewe ni 'kichwa'.
 
Katika stori na mdada fulani ambaye tumefahamiana mda mrefu aliniambia kuwa ana mimba, but sio ya boyfriend wake. Nilianza kumshushia lawama za u-infidelity hadi akapata mimba 'nje', yeye akasema hapana, it was planned. Anasema boyfriend aliye naye hawana mpango wa kuoana, bali kuondoleana upweke.

Akasema kwa age aliyo nayo, hana tena mpango wa kuolewa na ameamua kuzaa akizingatia kuwa ana kipato kizuri so kujilea na kulea watoto walau wawili sio shida kwake.

Then nikamuuliza why asizae na huyo boyfriend, akasema amemsoma akagundua kichwani sio mkali sana. Anasema huyo jamaa hata darasani hakuwa 'mzuri', na pamoja na kusoma shule nzuri matokeo yake hayakuwa ya kuridhisha.

So, ameamua kwenda kuzaa na mtu mwingine (tena mme wa mtu), ambaye anaijua historia yake kuwa darasani zilikuwa zinachemka kisawasawa, na hata kazini alipo sasa wanamkubali.

Eti ameamua kufanya hivyo kwani anajijua hata yeye sio kichwa sana, so anaona akizaa na mtu kama yeye tena, mtoto atakayezaliwa hata kuandika jina lake itahitajika kazi kubwa.

Anaamini akizaa na mwanaume 'kichwa' uwezekano wa kupata 'average' au 'kakichwa' ni mkubwa!!!! na nasema siku hizi wapo wanawake wengi tu wanafanya hivyo, wengine wakichagua wacheza mpira, wanamuziki, waigizaji maarufu nk ili tu watoto ikitokea waje wafananie baba zao ...

Ingawa alisimamia sana hoja yake, but mwishoni mi nilibaki na msimamo wangu kuwa huo ni ubaguzi kwani tukiangalia mambo kama hayo, wale 'mabongolala' tutakuwa extincted.

Kama kuna mwanamke ana mawazo kama haya humu, naomba tu ayaache, na aache ubaguzi...

Huyo mwanamke atakuwa ni mchaga
 
Kaaazi tunayo sie wanaume this time..................chambuliwa chambuliwa tuuuuuuu

Na mtuwekee top ten ya vigezo ili tujipange sasa maana ishu si mahari tena kumbe..........Lizzy, Mwa J, Pretta, Hapuch, Mwali, Madame X, Canta....... na woooote mtusaidie maana we approaching a disqualification bound

Aahahahahaha ngoja ntawajia na vigezo vya makundi tofauti tofauti.
 
Kaaazi tunayo sie wanaume this time..................chambuliwa chambuliwa tuuuuuuu

Na mtuwekee top ten ya vigezo ili tujipange sasa maana ishu si mahari tena kumbe..........Lizzy, Mwa J, Pretta, Hapuch, Mwali, Madame X, Canta....... na woooote mtusaidie maana we approaching a disqualification bound

Usiogope.....hawa ambao wanakimbizia vichwa wengi wao mwisho wa siku huishia kumegwa na mahouseboy na madereva wao!
 
EMT, Kufanikiwa na kuwa kichwa havihusiani sana.
Lakini hakuna mzazi anayependa mtoto wake awe kuku wa mdondo darasani

Hata pale kariakoo wanaonunua majumba kwa Mil 500+ ni darasa la saba tu
"Eventually I came to conclude that I could not find real knowledge in academic life, only hierarchies of knowledge that led, ultimately, to more hierarchies, not to more knowledge. I began to see university learning as limited, human, and relative. What was seen as absolutely up-to-date did not consider the infinite and timeless." - Sharon Daniels, author, The World of Truth

Schools teach children to obey. They espouse the things we-the ruling generation-want kids to know. No wonder most schools are pressure cookers where bored teachers meet bored children.... Modern education is a wasted investment. It doesn't deliver what we need the most: creative answers to the challenges of our times... It isn't a surprise that many of the people who've had the greatest influence on our times were-from the perspective of education-failures. - Jurriaan Kamp, Ode magazine editor.

The College Dropouts Hall of Fame: Famous college dropouts, successful college dropouts, and rich college dropouts

Hivi wazazi wa Messi nao walikuwa ni vichwa eh?
 
Last edited by a moderator:
mimi nataka mrefu mweusi awe na mvuto maana mimi sina kuviile
ila division ziro hapana kwa kweli......
ziro ni noma heri lasaba wazazi wakakosa ada ......

Ni kweli mtalia sana huku mkijiliwaza kwa uhandsome na vijisent mlivyonavyo

Sasa we unataka watu wawaandae kabisa watoto wao kuwa wazembe?

Alafu eti unasema ubaguzi. . .mbona nyie wanawake hua mnachagua (kwakuzingatia yale mpendayo) na sio mnachukua chukua tu?

Unajua sheria ya nature inataka only the fittest to survive
Zamani kua fit ilikua ni kukimbia, kuwinda na kulima sana
Leo kua fit ni uwezo wa kufikiria, uwezo wa kazi nzuri etc.
Basi dada katumia law of nature selection, only the fittest...
But sijui kama akili nazo ni hereditary kama anavo pendekeza

tatizo wanaume wanatuona wajinga sana... kwanza mtu kaamua kujizalia mwenyewe ... lazima awe selective atii
kuna genias mmoja ni dokta muhimbili ndo nammendea....

nimependa hiyo aidia ya dada....katumia akili sana.....

mmh....mimi nimevutiwa na huyo docta wako....napenda sana madoc....kwa sababu ni wa mkakati....najua ukimalizana nae utanipigia pande....

Ubaguzi ubaguzi ubaguzi tuuuuuuuuuuu...

Kuna wengine wanasema wanaangalia na sura, eti asizae katoto kana sura ambayo hata kitu kikipotea hom ndo kakwanza kuhisiwa!!!!
 
mimi nataka mrefu mweusi awe na mvuto maana mimi sina kuviile
ila division ziro hapana kwa kweli......
ziro ni noma heri lasaba wazazi wakakosa ada ......

Unahabari January nae alitaga form four enzi hizo?
 
EMT, nina wasiwasi na kiwango chako, ndio maana unataka kuwatetea vilaza. but usihofu,we can find you some young and brilliant JF members to compensate for what you lack ili watoto wawe balanced kiasi.
"Eventually I came to conclude that I could not find real knowledge in academic life, only hierarchies of knowledge that led, ultimately, to more hierarchies, not to more knowledge. I began to see university learning as limited, human, and relative. What was seen as absolutely up-to-date did not consider the infinite and timeless." - Sharon Daniels, author, The World of Truth

Schools teach children to obey. They espouse the things we-the ruling generation-want kids to know. No wonder most schools are pressure cookers where bored teachers meet bored children.... Modern education is a wasted investment. It doesn't deliver what we need the most: creative answers to the challenges of our times... It isn't a surprise that many of the people who've had the greatest influence on our times were-from the perspective of education-failures. - Jurriaan Kamp, Ode magazine editor.

The College Dropouts Hall of Fame: Famous college dropouts, successful college dropouts, and rich college dropouts

Hivi wazazi wa Messi nao walikuwa ni vichwa eh?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom