Kuzima kwa Compyuter

benja

JF-Expert Member
May 10, 2011
318
196
Wadau mmeamkaje
Nna laptop yangu aina ya HP G62. Feni yake inazunguka kwa sauti sana na mara nyingi computer huwa inazina halafu naiwasha tena lkn baada ya muda inazima tena. Na ikiwaka naisikia feni inazunguka hasa!!!!!! sijajua ni tatizo gani. Naombeni ushauri
 
Temperature is high jaribu kuangalia namna ya kutoa vumbi kwenye iyo feni pia kuweka heat sink compound pale kwenye cpu na kufanya absorption ya heat iwe vizuri
 
Back
Top Bottom