Kuzidishiwa chenji au malipo: Mlipwaji kuuchuna ni baraka au ni kosa?

Nilishawahi kumrudishia Mdada m.1 alinizidishia kwenye Kamati ya Harusi, alikuwa Mhasibu wetu, akiwa katingwa mie nikamrejeshea ile m. Hakika hakuamini jinsi ilivyotokea. Alishapotea kwa hofu ya kuathiri Ndoa ya mdau wetu. Tatizo likaja baadae, ule wema niliomtendea ukasababisha nimgegede kirahisi sana .
sasa kumgegeda tena hapo hakuna wema uliofanya
 
Kati ya Vitu nimejitahidi kuvitekeleza ni Uaminifu wa Pesa/Mali. niliona kuacha uzinzi ni ngumu, hata nikienda mbinguni nipate sehemu ya kujitetea.
Good. Nilikua supermarket fulani ya ndugu yangu last saturday kuna wazungu watatu wakaja mmoja ni regular costamer wengine nadhani walikua ni wageni wake.

Sasa katika kulipa mmoja wa wale wageni wakati anaondoka akasahau baku baku lake ambalo ndani tulihesabu tukakuta kuna dollar 2255 kamili.

Ndugu yangu akamrudishia for the sake of tht regular costumer.
Kwenye situation kama hii ww ungefanyaje mkuu.
 
Niliwahi kurudisha miamala kama 3 ambayo iliingia kwenye simu yangu wakati nipo katika hali ngumu sana kiuchumi.

Huwa siamini katika pesa za hivi.
 
Kuna siku Bureau de change mlimani city nilikuwa na note ya dolllar 100, nilikuwa nachenji dola hamsini tu, akanirudishia note ya $50 na sh 217000 thamani ya $100, nilikuwa nimeshaondoka ila nilirudi kumrudishia pesa yake, alishukuru sana.

Fikiria mtu anaingia loss kwa kukuzidishia, maana yake itabidi akatwe kwenye mshahara wake, hiyo sio haki, huo ni wizi.
 
Mimi kuna kadada kamoja natoa pesa mpesa kanajishaua kishezi huku na kule kamenizidishia 250,000 nsikufanya upuuzi wa kukarudishia kwa mashauzi yake!
 
Kuna siku Bureau de change mlimani city nilikuwa na note ya dolllar 100, nilikuwa nachenji dola hamsini tu, akanirudishia note ya $50 na sh 217000 thamani ya $100, nilikuwa nimeshaondoka ila nilirudi kumrudishia pesa yake, alishukuru sana.

Fikiria mtu anaingia loss kwa kukuzidishia, maana yake itabidi akatwe kwenye mshahara wake, hiyo sio haki, huo ni wizi.
Safi sana dunia inahitaji watu wengi wa aina yako.
 
Nilishawahi kumrudishia Mdada m.1 alinizidishia kwenye Kamati ya Harusi, alikuwa Mhasibu wetu, akiwa katingwa mie nikamrejeshea ile m. Hakika hakuamini jinsi ilivyotokea. Alishapotea kwa hofu ya kuathiri Ndoa ya mdau wetu. Tatizo likaja baadae, ule wema niliomtendea ukasababisha nimgegede kirahisi sana .
Kwwhyo umemuoa
 
Kati ya Vitu nimejitahidi kuvitekeleza ni Uaminifu wa Pesa/Mali. niliona kuacha uzinzi ni ngumu, hata nikienda mbinguni nipate sehemu ya kujitetea.
Mkuu wewe kama mimi siwezi zurumu ata mia ya mtu iwe umenizidishia au lah nitakurudishia ila Uzinzi kwa kweli utanisamehe ukisahau papuchi yako gheto kwangu ni lazima iliwe hapa tu ndio ninapojijua kwamba siwezi kwenda mbinguni ila mengine mbona simple tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom