Kuzidiana kwa uwiano wa hormone za uzazi kwa mwanamke kunamzuia kupata ujauzito!?

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,684
2,157
Naomba kufahamu chanzo kinachoweza kumsababishia mwanamke hormone zake zisiwe na uwiano sawia, dalili zake, kama husababisha kutopata ujauzito na namna gani zinaweza kurudi kuwa sawia
 
Back
Top Bottom