Imlazimishe vipi wakati ameshaambiwa Mara nyingi tu?Kama dereve wa Lissu ndiyo kikwazo cha upelelezi wa tukio hili na inafahamika kuwa Mh Mbowe ndiyo aliyemficha, kwa nini serikali ilimlazimishe amlete nchini kwa ajili ya upelelezi huo. Hivi Mbowe ana powers za kukaidi maagizo ya Jeshi la Polisi kwenye jambo muhimu na linaloiweka serikali kwenye wakati mgumu kama hili?