Kuzama kwa Fiber Boat - Updates, Uokoaji, Vifo, Waliookolewa na Wayforwad.

Jul 24, 2015
80
38
Ndugu mlio maeneo ya Ferry na Kigamboni poleni kwa Msiba na Majeraha kwa waliokolewa. Mimi kama Mtu wa Kigamboni hivi sasa nipo safarini Bara ningependa mtujuze updates za tukio la kuzama kwa Fiber Boat maeneo ya Ferry (Kivukoni) maana vyombo vya habari havijalipa umuhimu tukio hili la ajari mbaya na yakusikitisha.
 
Back
Top Bottom