Kuzaliwa mzuri Africa ni baraka au laana?

JAY BLACK

Member
Jun 15, 2016
12
12
Wanawake wengi(sio wote) wa Kiafrika hawana bahati katika maisha ya mapenzi hasa wale waliojaaliwa uzuri na mvuto moja ya sababu ni wao kushindwa kujua tofauti kati ya mwanaume anayemtaka na mwanaume anayempenda.
Mungu kaijalia Africa wanawake wazuri na warembo kuliko eneo lolote lile duniani lakini mwisho wa siku wanawake wengi(sio wote) wa Kiafrica wenye mvuto wameishia kuchezewa tu na wajanja na wahuni wengine wameishia tu kuzalishwa kila mtoto na baba yake na hawaolewi wapo tu mtaani.

KUZALIWA MZURI AFRICA NI BARAKA AU LAANA...
 
Hata hueleweki kabisa ina maana ww ukiachwa na mpenz wako una laana au baraka,?mapenz hayana mwalimu
 
Wanawake wengi(sio wote) wa Kiafrika hawana bahati katika maisha ya mapenzi hasa wale waliojaaliwa uzuri na mvuto moja ya sababu ni wao kushindwa kujua tofauti kati ya mwanaume anayemtaka na mwanaume anayempenda.
Mungu kaijalia Africa wanawake wazuri na warembo kuliko eneo lolote lile duniani lakini mwisho wa siku wanawake wengi(sio wote) wa Kiafrica wenye mvuto wameishia kuchezewa tu na wajanja na wahuni wengine wameishia tu kuzalishwa kila mtoto na baba yake na hawaolewi wapo tu mtaani.

KUZALIWA MZURI AFRICA NI BARAKA AU LAANA...
Kakojoe ulale
 
Muulize Jackline Ntuyabaliwe a.k.a Mama Mengi Kama ni laana au Barakaa.

Half tambua kua wanaume hatuoi uzuri wa mwanamke ila tunaoa mwanamke tunaedhani atafaa katika ndoa!

Wanawake pia mpo wa aina mbili according to sisi wanaume.
1. Wife material - huyu anafaa kuita mke
2. Suitable for sex - hawa wanatufaa kwa kukata kiu ya fasta. Sura, miili yao na hata tabia zao ndio zinazowapelekea kua kwa ajili ya matumizi tu.
Embu angalia mwanamke kama Gigy Money au Wema Sepetu, unaanzaje kueka ndani kama mke? Majibu mengine mleta uzi unayo ila ubishi tuuu

Will learn more....
 
Back
Top Bottom