utiyansanga
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 213
- 7
Ni msimu mwingine wa Xmass ,unaoambatana na na Dunia YA kIKRISTO na wasio wakristo kuingia katiaka kipindi cha pilka 2 nyingi.Wfanyabiashara nao ndio msimu wa Mavuno! ......Lakini nimekuwa nikijiuliza katka mafundisho yoet niliyobahatika pamoja na kusoma vitabu vya dini sijawahi kuona sehemu inayozungumzia sherehe hii,naomba wakristo wajuzi /wengine wenye ufahamu wanielimishe ,ILI NAMI NIWE NASHEREHEKEA KWA AMANI NA SI KUFUATA MKUMBO!
atumaini nitaajibiwa kwa amani na hekima !
atumaini nitaajibiwa kwa amani na hekima !