Kuzaliwa kwa Yesu......na biashara!

utiyansanga

JF-Expert Member
May 19, 2010
213
7
Ni msimu mwingine wa Xmass ,unaoambatana na na Dunia YA kIKRISTO na wasio wakristo kuingia katiaka kipindi cha pilka 2 nyingi.Wfanyabiashara nao ndio msimu wa Mavuno! ......Lakini nimekuwa nikijiuliza katka mafundisho yoet niliyobahatika pamoja na kusoma vitabu vya dini sijawahi kuona sehemu inayozungumzia sherehe hii,naomba wakristo wajuzi /wengine wenye ufahamu wanielimishe ,ILI NAMI NIWE NASHEREHEKEA KWA AMANI NA SI KUFUATA MKUMBO!
atumaini nitaajibiwa kwa amani na hekima !
 
Ni msimu mwingine wa Xmass ,unaoambatana na na Dunia YA kIKRISTO na wasio wakristo kuingia katiaka kipindi cha pilka 2 nyingi.Wfanyabiashara nao ndio msimu wa Mavuno! ......Lakini nimekuwa nikijiuliza katka mafundisho yoet niliyobahatika pamoja na kusoma vitabu vya dini sijawahi kuona sehemu inayozungumzia sherehe hii,naomba wakristo wajuzi /wengine wenye ufahamu wanielimishe ,ILI NAMI NIWE NASHEREHEKEA KWA AMANI NA SI KUFUATA MKUMBO!
atumaini nitaajibiwa kwa amani na hekima !

Hiyo siku haipo na kama ni kuzaliwa kwa YESU si december bali ni MARCH. Hiyo siku ina historia nyingine kabisaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
vyovyote iwavyo ujue ni siku ya kutenda mema kusafisha mahali pachafu na kuachana na matendo maovu, ni wakati wakumpokea YESU moyoni mwako!
 
Ili swali limewahi kujadiliwa mara kwa mara, angalia majibu kutoka kwa Wakristo wa JF:

Historia ya taifa la Israel katika kipindi cha ukimya yaani the 453 years between Agano la kale na Agano jipya. During the era of Alexander the great and Roman Empire rule ndipo this day was inagurated.
Alexander the great alipokufa his empire was divided in three regions, the one who rules egypt and Judea was ruthless to Jewish community and beliefs kiasi kwamba aliamuru nguruwe wachinjwe juu madhabahu za kiyahudi kama dhabihu. Alisababisha uasi mkubwa sana wa wayahudi na ndipo aliamuru Hekalu likabomolewa.

Jews wakiongozwa na Macabees (au Wamakabayo) waliendesha mapigano na tarehe hiyo (25 ya Mwezi wa mwisho wa Mwaka) they were able to rebuild the Temple. This was 165 before the begining of the Roman Rule.

Na ikumbukwe kuwa wengi wameiweka kama tarehe ya kuzaliwa Yesu kama kambukumbu kwani mwisho wa mweka ilikuwa ni katika majira ya miti kupukutisha majani kujiandaa kwa majira ya baridi yaani mwezikama wa kumi hivi kwa sasa. And that is why Yusufu was able to travel kwa kutumia Punda from Nazareth to Bethlehem akiwa na Mariamu aliyekuwa mjamzito, a distance of over 120 miles. ingekuwa ni december yetu ya leo yenye baridi kali la barafu kwa nchi za juu ya tropik ya kansa asingeweza.

Na kalenda ya kale ambayo mwezi wa kumi na mbili ilikuwa majira ya kupukutisha miti ilichakachuliwa na St Gregory ambaye ndiye aliye adjust na kutengeneza kalenda ya leo (the gregorian kalenda-I gues huyu jamaa alikuwa Pope)

Si kweli kuwa tar 25 ilikuwa sherehe ya kipagani kama Mzizimkavu anavyodai bali ilikuwa sherehe ya ku-innogurate Hekalu lililokuwa limobomolewa na likajengwa upya na Wayahudi wapigania Uhuru (the macabees-wamakabayo) who later changed their name wakajiita Wazelote.

Kwangu kanisani kila mtoto anafundishwa mapema Yesu hakuzaliwa ile tar 25 Disemba. Kuhusu tofauti kati ya sikukuu ya kuzaliwa na siku ya kuzaliwa. Makelele ya nini?

Ni sherehe ya heshima sawa na "Queens birthday" huko Uingereza. Wanasheherekea kila mwaka Jumamosiy a kwanza au ya pili katika mwezi wa June. Wana furaha kubwa ni sikukuu ya kitaifa ilhali kila mtoto anajua Queen hakuzaliwa siku ile.

Nisipokosei tumewahi kujadili swali hili sijui kwa nini Mzizi ameamua kuileta tena.
Mimi nasheherekea kwa furaha nikikumbuka fadhili zake Mungu katika Yesu Kristo na neema zake.
Tarehe nzuri sana!

Kama lengo ni kupata Jibu, hakuna anayejua siku Yesu alizaliwa.
Hata hivyo jibu liko wazi kuwa Yesu hakuzaliwa tar 25, sijajua nini mantiki ya kuuliza swali ambalo unalo jibu :hungry:


Kweli waislam majini yenu yanawaendesha vibaya. Sasa hizi pumba zoote umeandika ili iweje. Misrepresentation is your modus operandi like your father the devil!


Hahahahaaaa! Yaani una maana Issa aliyezaliwa chini ya mtende, aka imaginary "Jesus"?
No I don't buy to myths. Peleka visasili vyako kwa watoto mnaowajaza ujinga madrassa!
"Yesu" ambaye Mama yake ni mariam nduguye harun. Blunder kubwa hiyo, hata Muhammad alikuwa hajui tofauti kati ya Mariam dada yake Musa na Haruni na Mariam mama yake Yesu.

Hata ukinikaribisha siji, hata kwa jambia sikubadi mdoli wenu aka allah!
 
Was Jesus born on December 25? There is no evidence for this date. So then, who decided that Jesus' birth would be celebrated on that date? The early Christian church did not celebrate Jesus' birth. It wasn't until A.D. 440 that the church officially proclaimed December 25 as the birth of Christ. This was not based on any religious evidence but on a pagan feast. Saturnalia was a tradition inherited by the Roman pagans from an earlier Babylonian priesthood. December 25 was used as a celebration of the birthday of the sun god. It was observed near the winter solstice.

The apostles in the Bible predicted that some Christians would adopt pagan beliefs to enable them to make their religion more palatable to the pagans around them. Therefore, some scholars think the church chose the date of this pagan celebration to interest them in Christianity. The pagans were already used to celebrating on this date.

The Bible itself tells us that December 25 is an unlikely date for His birth. Palestine is very cold in December. It was much too cold to ask everyone to travel to the city of their fathers to register for taxes. Also the shepherds were in the fields (Luke 2:8-12). Shepherds were not in the fields in the winter time. They are in the fields early in March until early October. This would place Jesus' birth in the spring or early fall. It is also known that Jesus lived for 33.5 years and died at the feast of the Passover, which is at Easter time. He must therefore have been born six months the other side of Easter - making the date around the September/October time frames.

Other evidence that December 25 is the wrong date for the birth of Jesus comes from early writings. Iranaeus, born about a century after Jesus, notes that Jesus was born in the 41st year of the reign of Augustus. Since Augustus began his reign in the autumn of 43 B.C., this appears to substantiate the birth of Jesus as the autumn of 2 B.C. Eusebius (A.D. 264-340), the "Father of Church History," ascribes it to the 42nd year of the reign of Augustus and the 28th from the subjection of Egypt on the death of Anthony and Cleopatra. The 42nd year of Augustus ran from the autumn of 2 B.C. to the autumn of 1 B.C. The subjugation of Egypt into the Roman Empire occurred in the autumn of 30 B.C. The 28th year extended from the autumn of 3 B.C. to the autumn of 2 B.C. The only date that would meet both of these constraints would be the autumn of 2 B.C.

John the Baptist also helps us determine that December 25 is not the birth of Jesus. Elizabeth, John's mother, was a cousin of Mary. John began his ministry in the 15th year of Tiberius Caesar. The minimum age for the ministry was 30. As Augustus died on August 19, A.D. 14, that was the accession year for Tiberius. If John was born on April 19-20, 2 B.C., his 30th birthday would have been April 19-20, A.D. 29, or the 15th year of Tiberius. This seems to confirm the 2 B.C. date, and, since John was 5 months older, this also confirms an autumn birth date for Jesus.

Another interesting fact comes from Elizabeth herself. She hid herself for 5 months and then the Angel Gabriel announced to Mary both Elizabeth's condition and that Mary would also bear a son who would be called Jesus. Mary went "with haste" to visit Elizabeth, who was then in the first week of her 6th month, or the 4th week of Dec., 3 B.C. If Jesus was born 280 days later it would place his birth on Sept. 29, 2 B.C. Some scholars interpret the 6 months to be in line with the Hebrew calendar or the August-September time frame. Since Mary's pregnancy commenced a little before the sixth month around July, Jesus would be born somewhere around March-June. But does it matter if Jesus was born on the spring, the fall, or on December 25? Does it matter, theologically, when Jesus was born? What do you think, does it matter what day we celebrate His birth?



There could be more answer and another one is

The date started after Jesus' birth; but actual date is when Jeus was brought to the Synagouge! Jesus brought to the Synagouge after 8 days. People tried to count 8 backward from 1st JANUARY OF 00!! The date is 25th!! It is a mere coincident with pagan's festival.

All in all it has nothing do do with holiness neither with worshiping, kusherehekea au kutosherehekea hakuna tatizo lolote kiimani.
 
was jesus born on december 25? There is no evidence for this date. So then, who decided that jesus' birth would be celebrated on that date? The early christian church did not celebrate jesus' birth. It wasn't until a.d. 440 that the church officially proclaimed december 25 as the birth of christ. This was not based on any religious evidence but on a pagan feast. Saturnalia was a tradition inherited by the roman pagans from an earlier babylonian priesthood. December 25 was used as a celebration of the birthday of the sun god. It was observed near the winter solstice.

The apostles in the bible predicted that some christians would adopt pagan beliefs to enable them to make their religion more palatable to the pagans around them. Therefore, some scholars think the church chose the date of this pagan celebration to interest them in christianity. The pagans were already used to celebrating on this date.

The bible itself tells us that december 25 is an unlikely date for his birth. Palestine is very cold in december. It was much too cold to ask everyone to travel to the city of their fathers to register for taxes. Also the shepherds were in the fields (luke 2:8-12). Shepherds were not in the fields in the winter time. They are in the fields early in march until early october. This would place jesus' birth in the spring or early fall. It is also known that jesus lived for 33.5 years and died at the feast of the passover, which is at easter time. He must therefore have been born six months the other side of easter - making the date around the september/october time frames.

Other evidence that december 25 is the wrong date for the birth of jesus comes from early writings. Iranaeus, born about a century after jesus, notes that jesus was born in the 41st year of the reign of augustus. Since augustus began his reign in the autumn of 43 b.c., this appears to substantiate the birth of jesus as the autumn of 2 b.c. Eusebius (a.d. 264-340), the "father of church history," ascribes it to the 42nd year of the reign of augustus and the 28th from the subjection of egypt on the death of anthony and cleopatra. The 42nd year of augustus ran from the autumn of 2 b.c. To the autumn of 1 b.c. The subjugation of egypt into the roman empire occurred in the autumn of 30 b.c. The 28th year extended from the autumn of 3 b.c. To the autumn of 2 b.c. The only date that would meet both of these constraints would be the autumn of 2 b.c.

John the baptist also helps us determine that december 25 is not the birth of jesus. Elizabeth, john's mother, was a cousin of mary. John began his ministry in the 15th year of tiberius caesar. The minimum age for the ministry was 30. As augustus died on august 19, a.d. 14, that was the accession year for tiberius. If john was born on april 19-20, 2 b.c., his 30th birthday would have been april 19-20, a.d. 29, or the 15th year of tiberius. This seems to confirm the 2 b.c. Date, and, since john was 5 months older, this also confirms an autumn birth date for jesus.

Another interesting fact comes from elizabeth herself. She hid herself for 5 months and then the angel gabriel announced to mary both elizabeth's condition and that mary would also bear a son who would be called jesus. Mary went "with haste" to visit elizabeth, who was then in the first week of her 6th month, or the 4th week of dec., 3 b.c. If jesus was born 280 days later it would place his birth on sept. 29, 2 b.c. Some scholars interpret the 6 months to be in line with the hebrew calendar or the august-september time frame. Since mary's pregnancy commenced a little before the sixth month around july, jesus would be born somewhere around march-june. But does it matter if jesus was born on the spring, the fall, or on december 25? Does it matter, theologically, when jesus was born? What do you think, does it matter what day we celebrate his birth?



there could be more answer and another one is

the date started after jesus' birth; but actual date is when jeus was brought to the synagouge! Jesus brought to the synagouge after 8 days. People tried to count 8 backward from 1st january of 00!! The date is 25th!! It is a mere coincident with pagan's festival.

All in all it has nothing do do with holiness neither with worshiping, kusherehekea au kutosherehekea hakuna tatizo lolote kiimani.

igweee!
 
Wakati wote tunapaswa kusherehekea yesu kuzaliwa ndani ya maisha yetu.Kitu significant kwa mkristu si kusherehekea kuzaliwa kwa yesu bali tunapaswa kusherehekea kuzaliwa kwa yesu ndani ya maisha yetu.
 
Back
Top Bottom