Kuzalia Marekani

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,001
112,646
Kuna katabia kamezuka miaka ya hivi karibuni kwa wanawake wajawazito Wakitanzania (na hata sehemu zingine za Afrika) wakifikia karibu na muda wa kujifungua wanaenda Marekani. Tena wengine utakuta wanatoka nchi za Ulaya kama Uingereza na kuja Marekani kuzalia. WTF?

Wanakaa hadi wanajifungulia huko. Wakishajifungua hao wanarudi zao huko walikotoka. Sielewi kwa nini wanafanya hivyo lakini sababu naijua. Nyinyi wadau mnalionaje hili? Ni jambo jema au ni jambo linaloendeleza ile dhana ya Miafrika na jinsi ilivyo....
 
Hapo kwenye nyekundu imekaaje?
 
OPP mbona unauliza majibu!? Akili kichwani bro" na wakishajifungua hawaondoki mpaka wakamilishe makaratasi ya kichanga.
 
Hebu tupe statistics tafadhali...tunataka a scietific research sio kuona watu wawili ama watatu wamefanya hivyo basi unajererolaizi.
 
Kuna dada mmoja baba yake ni kati ya wabunge pale dodoma,Yeye mwenyewe ni kibosile pale zain upande wa customer care, kajaaliwa hivi na yeye alifanya huo mchezo
 
Bora hao wanaolipa nauli yao kuja kujifungulia watoto wao US. Kuna wale wanaokatiza jangwa na misitu kule kusini na mimba zao kuja kujifungulia US, hao nawaonea huruma kweli kwani wengine wanayeyukia huko huko jangwani.
 
Huu mchezo sio mpya - labda mpya kwa waTz. Nchi nyingi hasa zile za uarabuni na Amerika ya kusini wanafanya hivi kwa miaka kadhaa iliyopita. Kwa nini kama unao uwezo usifanye hivyo kuwapatia watoto wako more opportunities?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom