Kuzaa kila mtoto na baba yake ni kudhihirisha ukahaba

Vyovyote vile

Haiwezekani.kung'ang'ania mwanaume mmoja anayekupa stress na mateso kisa waru watakuona malaya wakati hata ada hawakusaidii kulipa.
Umalaya ni tabia na kumbuka kuwa Malaya hana haya.Sisi watanzania tuna desturi zetu haiwezekan kila mwanaume unayempata awe na mapungufu lazima wewe ndio unashida somewhere.
 
Back
Top Bottom