tena kenyewe kila kitu katakacho pewa akakatai ha!ha!...
Unajaribu jaribu na wewe siku moja ha!ha!
Jamani hayo mambo ya kizungu mie mtoto wa uswahilini sithubutuuu
Halafu huyu dada ana miwani miwili kwenye uso na kichwani. Ndo fasion gani hii
umeona eh....
Halafu huyu dada ana miwani miwili kwenye uso na kichwani. Ndo fasion gani hii
hii naona ya kutengenezwa...
Halafu huyu dada ana miwani miwili kwenye uso na kichwani. Ndo fasion gani hii
Moja ya jua na nyingine ya macho lol
Jua ndani ya nyumba?