Kuza biashara yako na kuifanya kisomi zaidi ili uwe mfanya biashara wa kimataifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuza biashara yako na kuifanya kisomi zaidi ili uwe mfanya biashara wa kimataifa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Marketer, Apr 7, 2012.

 1. M

  Marketer JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari wadau!

  Kutokana na uchumi kubana mbavu hapa bongo, wengi tumekuwa tuajitosa kufanya biashara au kufungua kampuni binafsi hata kama tumeajiriwa ili kutafta maisha bora.

  Sasa unakuta mdau amejinyima kweli mpaka kapata capital ya kutosha analaunch biashara inakufa na zile savings ndo nitolee hivo. Hii inatokana na utaratibu wetu wa kupuuzia vitu vidogovidogo ambavo muhimu kibiashara tofauti na wenzetu wahindi. Mtu kafungua kampuni au duka la Mil 100 za kitanzania ila anaona ubahili kutoa Mil 10 tu kwa matangazo matokeo yake Mill 100 zinakatika.

  Leo napenda kawshauri wenye biashara kubwa,kampuni au miradi wafungue website kutokana na faida zifuatazo

  • Biashara yako inakuwa wazi masaa 24 mtandaoni tofauti na ofisi unayoifunga jioni
  • Ni rahisi kuboresha matangazo au habari kwa wateja kuliko kutumia vipeperushi na ni nafuu zaidi..
  • Inapunguza mda na gharama za wateja kupata habari na huduma ya biashara yako maadam wataingia tu mtandaoni
  • Utawafikia wateja wengi sana wa maeneo mbalimbali ndani ya mda mfupi.
  • Inakuongezea corporate image ya kampuni au biashara kwa wateja na mashirika.
  • Unaweza kutoa huduma mtandaoni ambapo itakuongezea soko.

  Kwa wale ambao mngependa kupatiwa huduma ya kuandikisha tovuti, malipo ya mwaka, na kutengenezewa tovuti ya kisasa kwa tsh 600,000/= tu  CONTACTS
  P.O.Box 79307, Dar es salaam. Sinza Vatican
  Tel: +255 (22) 2461678
  Fax: +255 (22) 2461679
  Cell: 0776 878700
  Website: Microtelecomms-MTC
  Email: sales@microtelecomms.com
   
 2. m

  majogajo JF-Expert Member

  #2
  Apr 7, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  sijakuelewa vizuri.....unamaana gani kweli......
   
 3. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #3
  Apr 7, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hiyo bei ni kichomi kwa sisi wenye mitaji mdogo
   
Loading...