Kuyeyuka kwa migao ya mirathi, tupeane uzoefu-nini chanzo

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,080
103,312
Leo nilipata kusimuliwa kisa cha kusikitisha sana kikimuhusu binti mmoja aliyepata urithi wa baba yake. Nimeelezwa kuwa binti huyu alipewa gari na fedha taslim milioni 20 ajabu baada ya miaka mitatu gari lipo juu ya mawe na pesa hana ametapeli na wajuba.

Matukio haya ni mengi ndugu na jamaa zetu yamewakuta. Ndugu hawa wanakwama wapi,tupeane uzoefu. Kwa nini madonge ya urithi yanayeyuka hovyo hovyo.

Nini chanzo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom